Umuhimu wa kuvaa mlegezo

Mlegezo mlegezo tu!
Noted!

Ila kuna watu wana vitambi vikubwa mpaka tumbo unakuta linafika maeneo ya ikulu kwa hao watafungiaje suruali viunoni sasa?

Maana akikaza mkanda unakuta anaumia Sana.
 
Hata nguo za kuazima,balehe,swagg,kukonda na pombe kali zinachangia kata Kiki.Pia kuiga maisha ya kwenye video pia ni tatizo.Lakini hata wasomi wengi including maprofesa hupenda kata kiki za miwani pia masheikh hupenda kata kiki za vibaraghashia kina dada kata kiki za khanga.
 
Mpangaji wetu yuko kwenye 40s anavaa mlegezo

Namtazamaga namdharau hata heshima simpi!

Wamdharau ilhali haumlishi, hauoni ni uhayawani huo?
Wajiumiza kichwa bure!
Ukute mwenyewe hana mda nawe,labda yuakudharau mara tatu zaidi ya unavyomdharau wewe.
 
Kuna baadhi ya suruali huwezi kuzivalia kiunoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…