Umuhimu wa kuwa na dini ni upi?

Ustaharabu ni nini?
Mstaharabu ni nani?

Unasema haijaleta ila unakubali vipi ndugu wanapokuwa na Imani tofauti?
Nilichoona ni contradiction tu.
 
Inawezekana ikawa ni sababu, kwa sababu kuna makundi mbali mbali; sasa ni kwa nini sisi tuwe kwao kama kitega uchumi huku wao hawatusaidii chochote?
Everyman for himself, as long as wao mambo yao yanaenda, hawawezi kuwa na muda wa kupambania yako.

Na ukiona wanakupambania, jua kuna kitu wanapata
 

Ustaharabu ni nini?
Mstaharabu ni nani?

Unasema haijaleta ila unakubali vipi ndugu wanapokuwa na Imani tofauti?
Nilichoona ni contradiction tu.
Sio Contradiction, Christainity & Islamic religions brought Civilizations in Africa
 
Imani ya Uwepo wa Mungu na mafundisho ya kiroho ni Muhimu sana, hasa katika swala zima la maadili na Ustaarabu.
The rest ni uhuni na utapeli na Ukikubali kuendekeza/kuendeshwa na dini wewe ni Bwabwa maisha yako yote.
 
Mfano Samia akipingwa na waroma anasingizia wanambagua kisa dini yake
Nadhani ndio umuhimu wa dini nchini Tz
 
Dini hazina umuhim sana sana zinaleta vurugu mtu aliyekuwa na akili sawa sawa hawezi kutegemea dini imuendeshe maisha yake vichaa peke yako ndio wanaamini ktk dini yaan kama vili kinyago unakichonga mwenyewe kisha unakiigopa mwenyewe ndio mfano wa dini
 
Ninamaanisha aina ya maisha yaliyoonekana bora kiuchumi, kijamii na kiutawala
Maisha bora ndio ustaarabu?

Sulala zima la ustaarabu hutegemeana jamii husika, hata Africa tulikuwa na ustaarabu wetu kabla ya dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…