Umuhimu wa kuwa na storage na RAM kubwa kwenye simu

Umuhimu wa kuwa na storage na RAM kubwa kwenye simu

TECNO Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 6, 2016
Posts
192
Reaction score
217
Ikiwa uko kwenye soko la simu mpya basi unaweza kutumia muda wako kuangalia kamera ni megapixels ngapi, saizi ya display au jinsi inavyoweza kucheza game. Lakini kuna jambo lingine muhimu ambalo unahitaji kulipa kipaumbele: Internal storage.

Hifadhi ya ndani inakuwa tatizo kubwa zaidi pindi simu yako haitumii hifadhi ya ziada (Memory card). Simu nyingi za mkononi maarufu hazina slot yoyote ya memory card, hvy upelekea ushindwe kuwa na huifadhi wa ziada pindi simu yako ikijaa.

VCG211198055613.jpg


Hebu tuchukulie, kwa sasa, huna simu yenye 32gb au 64gb, hakuna njia ya kupanua hifadhi. Kila kitu picha, muziki na programu zako kitahifadhiwa kwenye nafasi hii. Kulingana na uzito wako wa mtumiaji, hakuna uwezekano kwamba nafasi itajaa haraka kuliko vile unavyotarajia.

Hivyo basi usipate shida kununua simu yenye uwezo mdogo wa kuhifadhi vitu. Ukitembelea kwenye maduka yetu utakutana na bidhaa zetu za CAMON 17 Pro, CAMON 18 Premier na PHANTOM X. simu izi zinauwezo wa hifadhi wa 256GB na RAM yake kubwa ya kutosheleza 8GB.
 
milioni kununua tecno uongo! hapana hapanaaa

[emoji28]milioni unapata Google Pixel moja kali,ama Redmi moja matata ama Samsung nzuri ama iPhone 11 used uende ukabebe mshipa wa Tecno kweli [emoji28]ama huyo mtu ameokota pesa
 
milioni kununua tecno uongo! hapana hapanaaa
Waweza kuta wako na simu nzuri sana kuliko washindani wake wa karibu kama Infinix au Huawei lakini wakaangushwa na jina lao hilo la "tecno". Tecno waliingia sokoni wakiwa wanatengeneza simu fake, hii imestik sana kwenye mind za watu kuwa wao wanatengeneza smart phone fake au za kiwango cha chini kwa kulenga watu wa kipato cha chini kama walimu, bodaboda, wadada wa kazi and the like.
 
Waweza kuta wako n simu nzuri sana kuliko washindani wake wa karibu kama Infinix au Huawei lakini wakaangushwa na jina lao hilo la "tecno". Tecno waliingia sokoni wakiwa wanatengeneza simu fake, hii imestik sana kwenye mind za watu kuwa wao wanatengeneza smart phone fake au za kiwango cha chini kwa kulenga watu wa kipato cha chini kama walimu, bodaboda, wadada wa kazi and the like.
Umeongea point
 
Back
Top Bottom