Umuhimu wa kuwapatia iron injection kwa vitoto vya Nguruwe

Umuhimu wa kuwapatia iron injection kwa vitoto vya Nguruwe

mchau

Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
89
Reaction score
95
Habari wafugaji Leo tutajifunza juu ya utoaji wa iron injection kwa watoto wa nguruwe

đź”´ UMUHIMU WA KUWAPA IRON INJECTION VITOTO VYA NGURUWE;

1. âś… Kuzuia anemia (upungufu wa damu):
Nguruwe wachanga huzaliwa na kiwango kidogo cha chuma, hivyo bila iron injection wanaweza kuishiwa damu.

2. âś… Kuongeza ukuaji na afya:
Chuma huongeza uwezo wa kubeba oksijeni kwenye damu, hivyo kusaidia ukuaji wa haraka na nguvu.

3. âś… Kuimarisha kinga ya mwili:
Hupunguza hatari ya magonjwa kwa kuwa nguruwe anakuwa na afya bora.

4. âś… Kuboresha ufanisi wa uzalishaji:
Nguruwe wenye afya hukua haraka na kufikia uzito wa soko mapema.

5. âś… Kurekebisha upungufu wa chuma kwenye maziwa ya mama:
Maziwa ya mama nguruwe hayana kiwango cha kutosha cha chuma, hivyo sindano husaidia kujaza pengo hilo.

Muda Bora wa kutoa:
➡️ Siku ya 3 baada ya kuzaliwa na kurudiwa Tena siku ya 21

Karibu sana tukuhudumie kwenye huduma ya matibabu,chanjo ,ushauri
Kwa mawasiliano
0674740836
0792263640
 
Back
Top Bottom