Umuhimu wa Madaraja: Unaweza kufunga Tanzanite Bridge Watanzania waangalie mpira. Je, unaweza kufunga Kigamboni Bridge?

Umuhimu wa Madaraja: Unaweza kufunga Tanzanite Bridge Watanzania waangalie mpira. Je, unaweza kufunga Kigamboni Bridge?

Iputi05

Member
Joined
Jun 26, 2021
Posts
5
Reaction score
5
Nimeshangaa kuona daraja la jipya la Tanzanite linaweza kufungwa ili Watanzania waangalie mpira lakini Serikali haikuona haja ya kuweka tozo.

Namaanisha daraja hili linatumika kama express route kwamba unapita kuharakisha safari ila unaweza kupita barabara ya kawaida ya mzunguko.

Kwa upande wa Nyerere Bridge (Daraja la Kigamboni) hili huwezi kufikiria kabisa kufanya tukio kama hilo.

Daraja lina umuhimu mkubwa kwa wananchi ila lazima ulipe tozo ya kuvuka.

Hoja ya kufuta tozo Daraja la Kigamboni haipingiki!
 
Sio “Watanzania”. Rekebisha Heading. Kuna zaidi ya Watanzania Million 60 hii nchi.

Wabinafsi wachache wa Dar wasituwakilishe vibaya wakazi wa Namabengo.
 
Sio “Watanzania”. Rekebisha Heading. Kuna zaidi ya Watanzania Million 60 hii nchi.

Wabinafsi wachache wa Dar wasituwakilishe vibaya wakazi wa Namabengo.
Hahahahahaaa... na jirani zao wa msindo, hanga na litola
 
Ikibidi litafungwa tu si ajabu dereva kumpisha abiria siti. Kwani kabla ya daraja watu wa Kigamboni waliishije?
 
Acheni kukaza ubongo ninyi kila kitu kwenu tatizo South Africa unaweka kufunga bara bara, madaraja ili mradi tu ulipie kazi yako ikiisha kwa saa ulizopangiwa wanafungua
 
Nimeshangaa kuona daraja la jipya la Tanzanite linaweza kufungwa ili watanzania waangalie mpira lakini serikali haikuona haja ya kuweka tozo. Namaanisha daraja hili linatumika kama express route kwamba unapita kuharakisha safari ila unaweza kupita barabara ya kawaida ya mzunguko. Kwa upande wa Nyerere Bridge (Daraja la Kigamboni) hili huwezi kufikiria kabisa kufanya tukio kama hilo. Daraja lina umuhimu mkubwa kwa wananchi ila lazima ulipe tozo ya kuvuka.
Hoja ya kufuta tozo Daraja la Kigamboni haipingiki!
Livaa imeangukia pua huko.

Janjaweed Chaliifrancisco
 
Back
Top Bottom