Umuhimu wa matiti kwa mwanaume

Umuhimu wa matiti kwa mwanaume

pol dauda

Senior Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
126
Reaction score
45
Hello!!!
Ndugu zangu mimi nilishafikria nkatafakari saaana kuhusu suala la mwanaume kuwa na matiti ni ipi? Yana kazi gani kwanini tulipewa!?! Natambua kuwa hakuna kiungo ktk mwil wa binadamu kisicho na kazi, yaweekana kuna namna flan napenda nifahamu.

Maana najua kazi ya matiti kwa wanawake, ambayo huwasaidia kupitisha maziwa kwa ajiri ya mtoto. Je, kwa wanaume sasa ni vipi?!Nataman kuelewa """

Asante, toa point
 
Hello!!!
Ndg zang mi nlishafikria nkatafakar saaana kuhusu suala la mwanaume kua na matiti n ipi?? yana kazi gan kwann tulipewa!?! natambua kua hakuna kiungo ktk mwil wa binadam kisicho na kazi, yaweekana kuna namna flan napenda nfahamu
maaana najua kazi ya matiti kwa wanawake, ambayo huwasaidia kupitisha maziwa kwa ajir ya mtoto je? kwa wanaume sasa n vip?!
nataman kuelewa """
ahsanthen, toa point

Yakiwa makubwa ambayo mn ndiyo lzm nione hiyo sifa kabla sijatongoza yana faida sana!
Mama akiwa ktk siku zake(period) mtu mzima naminywa hapo ‘Abdalllah kichwa wazi’ hadi nacheua
Kwangu sifa ya kwanza ya mdada lzm awe nayo makubwa sababu huwa yananiokoa sana wkt wa ‘njaa’ sista du akiwa anaumwa
 
Kwani wanyama wengine hawana??? Uliwahi kujiuliza umhimu wa nywele kichwani na sehemu zingine zikiwemo za siri??
 
Mungu alijisahau tu katika uumbaji, kimsingi hayana maana yoyote kama unaweza yatoe
 
Hello!!!
Ndg zang mi nlishafikria nkatafakar saaana kuhusu suala la mwanaume kua na matiti n ipi?? yana kazi gan kwann tulipewa!?! natambua kua hakuna kiungo ktk mwil wa binadam kisicho na kazi, yaweekana kuna namna flan napenda nfahamu
maaana najua kazi ya matiti kwa wanawake, ambayo huwasaidia kupitisha maziwa kwa ajir ya mtoto je? kwa wanaume sasa n vip?!
nataman kuelewa """
ahsanthen, toa point
Hujapata mwanamke anayejua kuyatumia.
Kazi yake ni kuchochea ashiki
 
Hello!!!
Ndg zang mi nlishafikria nkatafakar saaana kuhusu suala la mwanaume kua na matiti n ipi?? yana kazi gan kwann tulipewa!?! natambua kua hakuna kiungo ktk mwil wa binadam kisicho na kazi, yaweekana kuna namna flan napenda nfahamu
maaana najua kazi ya matiti kwa wanawake, ambayo huwasaidia kupitisha maziwa kwa ajir ya mtoto je? kwa wanaume sasa n vip?!
nataman kuelewa """
ahsanthen, toa point
Mbona mimi sina matiti?
 
Yakiwa makubwa ambayo mn ndiyo lzm nione hiyo sifa kabla sijatongoza yana faida sana!
Mama akiwa ktk siku zake(period) mtu mzima naminywa hapo ‘Abdalllah kichwa wazi’ hadi nacheua
Kwangu sifa ya kwanza ya mdada lzm awe nayo makubwa sababu huwa yananiokoa sana wkt wa ‘njaa’ sista du akiwa anaumwa

0%.

Soma swali ujaribu tena.
 
Back
Top Bottom