Mswahili mahiri
New Member
- Jul 31, 2021
- 1
- 6
Habari ndugu wadau nimeona ni shiriki katika mjadala huu nikiwa moja ya vijana tulio wengi mtaani ambao kimsingi tunapambana na changamoto ya ajira na ukosefu wa ajira za kutosha.
Mimi kama muhitimu wa chuo kikuu ambae badi nipo mtaani nilitamani kuina taasisi mbalimbali za kifedha zikitoa mikopo nafuu kwa vijana bila kuwa na mashati magumu. Hii ni kutokana na kuwa vijana wengi tunao hitimu vyuo vikuu na vya kati tunatoka katika familia zilizopo katika uchumi wa chini na hivo kuna muda hata kukosa mali au kitu unachoweza kuweka bond ili kuoata mkopo.
Kwa kuzingatia hilo ili kuibadirisha jamii nilifikiri kuwa ni wakati muhimu sasa kama taasisi hizi za kifedha zingeweza kukubali walau kuchukua vyeti vya taaluma kama bond ya kupata mkopo ili kuwawezesha vijana wengi kuweza kuniajiri tofauti na kusubiri vitu kama ardhi na mali zisizo hamishika.
Hii itasaidia kuounguza wimbi la vijana wengi ambao wako mtaani wakikosa ujasiri na nguvu sha kujiajiri katika biashara ndogo ndogo, kubwa na hata kuwa wajasiliamari wa kutegemewa.
Hii itasaidia kubadili mtazamo wa jamii kuwa ukisoma lazina uajiriwe Selikalini au katika makampuni.
Hii itasaidia kuongeza pato la taifa, na kupunguza umasikini
Hii itasaidia kuongeza ushindani baina ya taasisi za kifedha na kukuza ubunifu wenye tija.
Ahsanteni kwa kusoma
Na mwisho niseme kuwa nami pia nahitaji mkopo ila sina sifa kutokana na kukosa ardhi hivo kama kuna mdau anaweza nikopesha, kuniajiri au kunipa mbinu ya kupata mkopo itakuwa ni kitu kikubwa kwangu.
Ahsanteni sana