Umuhimu wa mjusi wa nyumbani ndani

Ktk Uislamu kuna viumbe 5 ni halali kuwaua bila sababu, 1. Mjusi kafiri, 2. Kunguru, 3. Panya, 4. Nyoka, na 5. Nge. Pia wapo watano wengine ambao ni haramu kuwaua kwa hali yoyote hata kwa ajili ya matibabu, 1. Chura... Wengine nimesahau
Eti Mjusi Kafiri, kumbe mijusi wengine wana dini? Waislamu mnazingua sana sometimes.
 
Huyo unayemwita CHUNGULUBANTO si tulikuwa tunawaita GOROMONDO. Katika mijusi waliokuwa wana bahati mbaya ya kukutana na sisi udogoni ni hao tumewaua sana bila hatia. Tuliokuwa tupo radhi tuapangue tofali hata mia ili tu tuuwe GOROMONDO mmoja. Daa Mungu ana kazi sana ila inabidi atusamehe tu kwani ilikuwa ni utoto tu.
 
Wanakunya hao viumbe usipime,sijui digestion system yao ipoje!
 
Kwenye Sayansi viumbe wote wana umuhimu kwenye eco-system, sasa hawa viumbe Allah alikosea kuwaumba au aliwaumba maalum ili Waislam wawaue?
MKUU UMENICHEKESHA MNO, DAAH! HAYA BANA UBARIKIWE SANA. Anyway mambo yapo hivi, kwanza hakosei kwa lolote afanyalo, chochote afanyacho hufanya kwa hikma maalum. Hivyo inafahamika vitu vyote halali na haramu vinafaida na madhara, haramu inafaida chache na madhara mengi, halali yumkini madhara kidogo faida ni nyingi.. Pia ni makosa kumnasbisha na makosa Allah Muumbaji wa kila kitu...
 
Eti Mjusi Kafiri, kumbe mijusi wengine wana dini? Waislamu mnazingua sana sometimes.
Hahaa, Mkuu sio kuzingua na wala jina hilo halimaanishi kuwa mjusi anadini, hiyo ni nisba tu amenasbishwa ktk sifa hiyo. Halafu kaka si unajua ITKADI ni imani ya kukata. Yaani unaamini tu kuwa ipo hivyo bila kutumia maarifa ya kiakili bali mafundisho ya dini hata kama akili inakataa.. Dalili kwanza kisha akili inafata
 
Hata buibui pia wanasaidia kuthibiti mbu, Basi TU wengi uziondoa tando za buibui
 
Hata buibui pia wanasaidia kuthibiti mbu, Basi TU wengi uziondoa tando za buibui
 
Ktk Uislamu kuna viumbe 5 ni halali kuwaua bila sababu, 1. Mjusi kafiri, 2. Kunguru, 3. Panya, 4. Nyoka, na 5. Nge. Pia wapo watano wengine ambao ni haramu kuwaua kwa hali yoyote hata kwa ajili ya matibabu, 1. Chura... Wengine nimesahau
Hii dini bana!! Allah anawaumba mwenyewe alafu huyo huyo anawaita haramu alafu anamruhusu wauwawe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii dini full confusion
 
Kwa sound hiz lazima ule sadaka za wadau πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…