kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,981
- 3,631
Habarini wakuu.
Kwako Mjasiriamali unayetaka kuanzisha biashara au uliyeko kwenye biashara lazima utambue umuhimu wa kuwa na mpango wa biashara (business plan).
Malengo yake ni
1.kukusaidia Mjasiriamali kupata uelewa mzuri zaidi wa fursa uliyoiona-kimalengo na uhalisia
2.itakuonyesha uwezekano wa biashara kukua na kufanikiwa.
3.itakusaidia katika kupanga na kutawala na kukuandaa kimafanikio.
4.unaeleza malengo yako,washindani wako,utawala wako na wafanyakazi.
5.msingi wa vyanzo vya Mtaji kama mikopo etc.
6. Etc
Njoo nikuandikie business plan ndogo au ya kati au kubwa. welcome sana