Umuhimu wa nambari 3 kwenye maisha ya binadamu

Umuhimu wa nambari 3 kwenye maisha ya binadamu

Yesu Limuuliza petro mara 3 kama anampenda, petro alimkana Yesu mara3, Yesu alifufuka sku ya tatu, shetan alimjaribu Yesu mar3
 
Hata washindi, mara nyingi ni hadi wa 3 ndio wanapewa zawadi. Darasani, walioshika nafasi hadi ya 3 ndio wanaonekana vipanga zaidi.
 
Namba mbili je..!
Binadamu ana

macho mawili
Miguu miwili
Mikono miwili
Maskio mawili
Tundu za pua mbili
Taya mbili




Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom