Umuhimu wa No reform no Election sasa naona walikatwa wanaona

Umuhimu wa No reform no Election sasa naona walikatwa wanaona

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Umuhimu wa No reform no Election sasa naona walikatwa wanaona.

Sasa hamuwezi kwenda kugombea kwa sheria hizi bila reform maana mafisadi na wezi wanaibia chama kimoja tu ni lazima mfumo ubadilike maana kesho yenu hamjui itakuwaje angalieni sasa
 
Walioko ccm wanapaswa wajifunze kwa Edward Ngoyai huyu haikuwahi kuhisi iko siku ataondoka ccm na atakuwa upinzani,lkn kwa kuwa Dunia n duara ilimzingushaaaa mpk akaenda ukawa,Sheria zile zile alizosimamia akiwa ccm zikamdondosha,,,,be humble fanya reforms kwa ajili ya kesho yetu sote na kizazi kijacho
 
Back
Top Bottom