Umuhimu wa nyama ya samaki

jmitindo

New Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
1
Reaction score
0
Nyama ya samaki ni nyama nzuli kuliko nyama nyingine unazo zifahamu madactari wanatushauli kutumia samaki badala ya nyama yangombe kwa sababu kwenye samaki tunapata madini mengi sana ambayo hupelekea miili yetu kukua vizuli hasa kwa watoto wa dogo, samaki kama sangara, sato, kitoga, kibua, pelege, kamongo, mchena, kambale na wengine wengu ni mboga safi kabisa kwa binadamu
 
Huyu atakuwa amemaliza darasa la saba, na hapa anajikumbusha notisi
 
Humuimu-umuhimu
Nzuli - nzuri
Madactari - madaktari
Ngombe - ng'ombe
Wengu - wengi,

Hebu edit habari yako, halafu tafuta jukwaa Lake uposti tena
Watoto wa dogo- watoto wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…