jmitindo
New Member
- Nov 11, 2016
- 1
- 0
Nyama ya samaki ni nyama nzuli kuliko nyama nyingine unazo zifahamu madactari wanatushauli kutumia samaki badala ya nyama yangombe kwa sababu kwenye samaki tunapata madini mengi sana ambayo hupelekea miili yetu kukua vizuli hasa kwa watoto wa dogo, samaki kama sangara, sato, kitoga, kibua, pelege, kamongo, mchena, kambale na wengine wengu ni mboga safi kabisa kwa binadamu