Umuhimu wa semina na makongamano ya ujasiriamali

Muslimkinungu

Member
Joined
Dec 21, 2019
Posts
11
Reaction score
3
Mimi ni mjasiriamali mdogo lakini nilikuwa nataka kushare something with the audience.

Naamini sisi wajasiriamali wadogo huwa tunapita changamoto nyingi sana katika kufikia lengo la biashara tunazofanya kwa maana tunahitaji mafanikio.

Pia ningependa kuomba kama kunakuwa na kongamano au semina za wajasiriamali nami napenda kuwa miongoni mwa wale watakaoudhuria kwa maana we gain new things ambavyo vinatupa taswira mzima ya biashara na kujiongezea ufanisi wa ufanyaji na uendeshaji kazi kwani kila mhusika huja na utashi wake. Hii ni kwa Dar es salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini mkuu nadhani ungeweka wazi zaidi kuhusu mambo ambayo ungependa kushare na wajasiriamali.
maana mimi sijakuelewa kisi hicho.
 
Lakini mkuu nadhani ungeweka wazi zaidi kuhusu mambo ambayo ungependa kushare na wajasiriamali.
maana mimi sijakuelewa kisi hicho.
Yani ambacho nasema mi ni mjasiriamali ,kwahiyo kama kunakuwa na semina na kongamano ambayo yanatukutanisha wajasiriamali naamini inakuwa kama darasa kwetu ,kupeana ujuzi mbali mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujasiriamali unamaana pana mkuu, hata hivyo inategemea na mkao ulionao wewe katika picha nzima ya maono yako.
Ukishiriki makongamano ya ujasiriamali juu ya kilimo na ufugaji wakati lengo lako wewe nikuijua kiundani zaidi biadhara ya kubadiri fedha kwa njia ya mtandao sizani kama itakuwa imekusaidia.
Ukitaka kufahamu kiundani zaidi namna ya kuendesha mradi wa bodaboda wakati huohuo unahudhuria kongamano za mafunzo juu ya uongezaji thamani mazao ya mbogamboga na matunda sidhani kama itakusaidia.

Ushauri wangu ni kwamba, " kuwa sehemu yakutaka kujifunza jambo lenye umuhimu kwako, ukianzisha mada kwa Jambo lililo kaa moyoni pako! Imani yangu ni kwamba, wapo wadau ambao ni mental na wana experience ya vitu vingi tu incase ukiwa specific".
Asante kama utayapokea vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…