Muslimkinungu
Member
- Dec 21, 2019
- 11
- 3
Mimi ni mjasiriamali mdogo lakini nilikuwa nataka kushare something with the audience.
Naamini sisi wajasiriamali wadogo huwa tunapita changamoto nyingi sana katika kufikia lengo la biashara tunazofanya kwa maana tunahitaji mafanikio.
Pia ningependa kuomba kama kunakuwa na kongamano au semina za wajasiriamali nami napenda kuwa miongoni mwa wale watakaoudhuria kwa maana we gain new things ambavyo vinatupa taswira mzima ya biashara na kujiongezea ufanisi wa ufanyaji na uendeshaji kazi kwani kila mhusika huja na utashi wake. Hii ni kwa Dar es salaam.
Sent using Jamii Forums mobile app