Umuhimu wa Tanzania strategically

Umuhimu wa Tanzania strategically

z12f

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
704
Reaction score
572
Umuhimu wa Tanzania strategically:

1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto Nile yanategemea ziwa hilo. Pia Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania.

2) Ni nchi muhimu kwa mataifa ya Kiislamu kwasababu ni nchi yenye Waislamu wengi kuliko nchi yeyote Africa Kusini mwa equator. 20% - 30% ya waTZ ni Waislamu.

3) Ni nchi muhimu kwa wakatoliki wanaozungumza Kiingereza (wakatoliki wa anglo-saxons na wairish). Kwa sababu ni nchi ya pili afrika kuwa na wakatoliki wengi (kwenye nchi za Africa zinazozungumza kiingereza). 30% - 40% ya waTZ ni wakatoliki.

4) Ni nchi muhimu kwa Walutheri wa Ujerumani, scandanavia, USA na kwingineko. Kwasababu Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na idadi kubwa ya walutheri. 30% - 40% ya waTZ ni waprotestanti. Na Walutheri ndio dhehebu lenye waumini wengi kuliko madhehebu mengine ya Kiprotestanti TZ.

5) Kutokana na its location and population kubwa, ni nchi muhimu geo-politically. Kwa global super power na continental powers kama wamarekani na wachina. Vile vile ni nchi muhimu kutokana na its past military interventions. Pia ni nchi muhimu kwa UK and Germany as hawa walikua wakoloni wa Tanzania.

6) Kutokana na its abundant natural resources na population kubwa, ni nchi muhimu kwa economic powers kama USA, China, India, UK, Japan, Germany.

7) Ni nchi muhimu kwa watu waliompenda Nyerere. May be ni muhimu pia kwa watu waliomchukia Nyerere.

8) TZ ni muhimu kwa wa TZ wenyewe since ni nyumbani kwao.

9) TZ ni muhimu kwa wanamazingira wa dunia as ina abundant plant life and animal life e.g. wanyamapori wengi, misitu ya asili, Milima etc.

10) Since TZ kuna wanadamu, huenda TZ ni nchi muhimu pia kwa Mungu wa Israel. So huenda TZ (kama ilivyo nchi nyingine) kuna mivutano ya kisiri siri ya kiroho baina ya Bwana Yesu na shetani.
 
Pia ni nchi ambayo kuna aina nne za makabila yanayopatikana Africa yaani Wabantu, Wabushmen (Hadzabe),Nilots (Maasai), na afrasiatics (iraqwis). Kiufupi kuna bonge la mwingiliano. Pia fuvu la mtu wa kale sana lilipatikana hapa.
 
Ni nchi yenye wajinga wengi Afrika, asilimia 90 ya watanzania ni wajinga.

Ni nchi yenye wanafiki wengi duniani, asilimia 95 ya watanzania ni wanafiki.

Ni nchi yenye wambea wengi duniani, asilimia 99 ya watanzania ni wambea.
 
Back
Top Bottom