Umuhimu wa Time Travel, tungewatuma Gen Z miaka ile wazuie muungano

Umuhimu wa Time Travel, tungewatuma Gen Z miaka ile wazuie muungano

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Natamani time travel ingekuwa ipo really.

Hawa gen Z wangetusaidia sana kurudi nyuma mpaka miaka ile kuzuia muungano, automatically kimama asingekuwa makamo wa rais na haya yanayoendelea yasingekuwepo.
 
Back
Top Bottom