Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Nov 18, 2025 #1 Natamani time travel ingekuwa ipo really. Hawa gen Z wangetusaidia sana kurudi nyuma mpaka miaka ile kuzuia muungano, automatically kimama asingekuwa makamo wa rais na haya yanayoendelea yasingekuwepo.
Natamani time travel ingekuwa ipo really. Hawa gen Z wangetusaidia sana kurudi nyuma mpaka miaka ile kuzuia muungano, automatically kimama asingekuwa makamo wa rais na haya yanayoendelea yasingekuwepo.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,696 Reaction score 109,218 Nov 18, 2025 #2 🤣😂🤣🤣 Sio muungano tu, kuna wazee wangeshauriwa wasimwagie ndani maana matokeo yake wametuletea watu wa hovyo, wanaiharibu TANGANYIKA
🤣😂🤣🤣 Sio muungano tu, kuna wazee wangeshauriwa wasimwagie ndani maana matokeo yake wametuletea watu wa hovyo, wanaiharibu TANGANYIKA
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Nov 18, 2025 Thread starter #3 makaveli10 said: 🤣😂🤣🤣 Sio muungano tu, kuna wazee wangeshauriwa wasimwagie ndani maana matokeo yake wametuletea watu wa hovyo, wanaiharibu TANGANYIKA Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣
makaveli10 said: 🤣😂🤣🤣 Sio muungano tu, kuna wazee wangeshauriwa wasimwagie ndani maana matokeo yake wametuletea watu wa hovyo, wanaiharibu TANGANYIKA Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Nov 18, 2025 Thread starter #4 Tumeuziwa mbuzi kwenye gunia.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Nov 18, 2025 #5 Ndoto zingine ni mbaya sana.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Nov 26, 2025 Thread starter #6 Hakuna namna zaidi ya kwenda kuzuia chanzo cha tatizo.