haya ya Hamza ,Denmark na tozo na miamala ni katika harakati za CCM kutaka kutawala maisha nchi hii,hivyo nyumbu hawa CCM wanajaribu kupanga kila mipango ili wavuruge na kuzihamisha akili za watanzania wanaoanza kushika kasi katika kutaka uchaguzi wa nchi hizi mbili Tanganyika na Zanzibar usimamiwe na Tume huru na pia iwepo Katiba mpya iliyopatikana chini ya mfumo wa vyama vingi.
Hakuna cha Hamza wala polisi kupigana risasi wala Mbowe kuwa gaidi, wananchi wimbo ni mmoja na hawatayumbishwa na mateke ya nyumbu anaekata roho ,CCM wameshikwa na mhaho na hamna hata wa kuwapa maji ya kunywa ,maadui wakubwa wa Taifa hili ambao wamechonganisha vyombo vya ulinzi na usalama kwa raia .
Matatizo na kutoelewana kati ya polisi na raia ndio tulipo watanzania,polisi akiuliwa au kupigwa mwananchi anafurahia ,hali hii Miccm inaifurahia maana ni hali inajenga chuki miongoni mwetu raia na vyombo vya ulinzi kutofahamiana ni vita vya panzi kwani polisi wengi hali zao ndio kama zetu sie raia uhohehahe ,tofauti na wale Miccm miti,meza,matawi mashina hata baadhi ya majani ambao wamejimilikisha hii nchi na kujiona wao ni wao.
Sisi na mapolisi hali zetu ni moja sote ni panzi kunapotokea mtafaruku makunguru huwemo furahani. Hili mlijuwe haya yanayotokea wala MiCCM haina habari nayo wanaawaacha polisi na wananchi watoane roho.
MiCCM itajitokeza kwenye vyombo vya habari kuchochea na vyombo hivi visipoamka na wananchi kwa pamoja vikashituka kuwa CCM inawatumia kama ngazi,lakini kiujumla hawana thamani ya aina yeyote ile...!
CCM ni ya kuepukwa na panzi wowote watambue vita vyao watamalizana mapmabano ya polisi na hamza ni uthibitisho kwamba tumefikia hatua mbaya ya kugombanishwa ,sote tunashindwishwa na njaa ,polisi njaa tupu wananchi walio wengi njaa tupu.