Umuhimu wa unga wa mwani

Umuhimu wa unga wa mwani

Hamadi Hamisi

New Member
Joined
Aug 6, 2021
Posts
3
Reaction score
2
Mwani(Seamoss) ni miongoni mwa mimea inayopatikana baharini, ikichukua sehemu ya ikolojia ya bahari kwa kulea na kulisha viumbe wengine baharini.

Hivi karibuni kilimo cha mwani kimeongezeka sana katika ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki hususa visiwa vya Zanzibar na Mafia.

Kama ndio mara ya kwanza kusikia habari za Mwani, basi twende hatua kwa hatua kuokota faida na thamani ambazo ni ngeni masikioni mwetu.

1. Mwani huondosha tatizo la kukosa choo na tumbo kujaa gesi, kwasababu mwani hulainisha mfumo wa usagaji chakula na una kiwango kikubwa cha nyuzinyuzi.

2. Hutuliza maumivu ya viungo na misuli, kwa wale wenye maumivu ya magoti na mgongo wanashauriwa kutumia mwani.

3. Inafanya ngozi kuwa bora na angavu(glowing skin) tumia mafuta ya mwani au sabuni yake.

4. Huimarisha afya ya tezi ya thairoidi hivyo kwa wale wagonjwa wa Goita(Kuvimba shingo) wanashauriwa kutumia mwani kwa wingi kwani una madini joto(Iodine) kwa wingi.

5. Mwani huongeza kinga ya mwili na kuifanya imara kukabiliana na maradhi.

Kwa mahitaji ya mwani unga/mzima na maelezo zaidi wasiliana nasi kwa nambari, +255778009486.

Zanzibar-Tanzania.
 
Attachments

  • Adobe_Express_20241001_1221190_1.png
    Adobe_Express_20241001_1221190_1.png
    315.1 KB · Views: 10
  • Adobe_Express_20240522_0056030_1.png
    Adobe_Express_20240522_0056030_1.png
    1.1 MB · Views: 8
Mwani(Seamoss) ni miongoni mwa mimea inayopatikana baharini, ikichukua sehemu ya ikolojia ya bahari kwa kulea na kulisha viumbe wengine baharini.
Hivi karibuni kilimo cha mwani kimeongezeka sana katika ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki hususa visiwa vya Zanzibar na Mafia.
Kama ndio mara ya kwanza kusikia habari za Mwani, basi twende hatua kwa hatua kuokota faida na thamani ambazo ni ngeni masikioni mwetu.
1. Mwani huondosha tatizo la kukosa choo na tumbo kujaa gesi, kwasababu mwani hulainisha mfumo wa usagaji chakula na una kiwango kikubwa cha nyuzinyuzi.
2. Hutuliza maumivu ya viungo na misuli, kwa wale wenye maumivu ya magoti na mgongo wanashauriwa kutumia mwani.
3. Inafanya ngozi kuwa bora na angavu(glowing skin) tumia mafuta ya mwani au sabuni yake.
4. Huimarisha afya ya tezi ya thairoidi hivyo kwa wale wagonjwa wa Goita(Kuvimba shingo) wanashauriwa kutumia mwani kwa wingi kwani una madini joto(Iodine) kwa wingi.
5. Mwani huongeza kinga ya mwili na kuifanya imara kukabiliana na maradhi.

Kwa mahitaji ya mwani unga/mzima na maelezo zaidi wasiliana nasi kwa nambari, +255778009486._

Zanzibar-Tanzania.
 
Attachments

  • Adobe_Express_20241001_1221190_1.png
    Adobe_Express_20241001_1221190_1.png
    315.1 KB · Views: 8
  • Adobe_Express_20240723_1731260_1.png
    Adobe_Express_20240723_1731260_1.png
    639.1 KB · Views: 10
  • Adobe_Express_20240522_0056030_1.png
    Adobe_Express_20240522_0056030_1.png
    1.1 MB · Views: 7
Back
Top Bottom