Umuhimu wa VAR!

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
2,652
Reaction score
4,593
Miaka kama miwili wazungu walipotaka kuanzisha VAR, baadhi ya mashabiki waliponda kwa madai kuwa, VAR itapunguza ladha ya mpira.

Kiuhalisia, waanzilishi wa VAR ni watu wanaoona mbali, kwa sabab waliona l kuna watu wametumia mamilion ya pesa kuwekeza katika soka iweje timu ifungwe kirahisi rahisi!

Kilichotokea leo katika mechi ya Namungo na Yanga, hakika tunaona umuhimu wa VAR katika soka la Tanzania na Afrika kwa ujumla!

Kwani kuna ubaya gani wakianza kutumia VAR za azam tv, yaani ile replay wakati wa mechi!
 
Fikiria refa alieamua leo iwe penati ndie aliekaa chumba cha VAR. VAR inaendeshwa na watu na kwa aina ya marefa hawa hata akikaa chumba cha VAR anaweza kupindisha maamuzi. Kupiga hatua bado sana kwa aina ya hawa marefa na viongozi.
 
Wameshindwa kununua vibao vya namba vya kibadilisha wachezaji/Digital itakuwa VAR?
 
Siku Morrison anampiga kiwiko mchezaji wa Namungo uliona umuhimu wa VAR?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…