Umuhimu wa wanaume kujipenda na kuwa wasafi

Usisahau hapo kuna kujimwagia mashahawa wakati wa kufanya mambo fulani na yanavyotoa harufu kali, wanawake wana roho za kubeba.. sasa imagine mtu kaishi nayo wiki km sio mafua na kikohozi mfululizo ni nini?
Labda siku akijimwagia shahawa ndo anaoga ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ila hapana aiseeee mi nahisi anatania. Mtu mzima na akili yake hawezi kuoga mara mbili kwa wiki. Labda kama anafanya kazi za kuzamia porini
 
Utaendelea kutawaliwa na warabu mpaka kizazi Chako Cha nne
 
Hivi allah ni ktu gn? Na uyo sjui mtume ni mdudu gn au ni kama kna mwamposa?
 
Unakuta mtu kafunga na tai au mdada mzuri ,na mrembo na ni mtu mzima lina pupu , halafu hali flash na maji linanyanyuka kama goigoi๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Hii tabia (nisamehewe kwa nitakaowakwaza) wanayo sana ndugu zangu Wasukuma.

Nipo nao pale Kariakoo yaani nikipata haja hata kama ndogo nikaenda toilet nikakuta aliyenitangulia ni hawa jamaa nipo radhi kwenda kuomba huduma jengo linalopakana,ni wachafu duniani hakuna sijui vyoo wamevijulia mjini?
 
Seran ya kweli haya?
 
Usafi ni muhimu, kuoga vzr, kuswaki, kufua nguo... Hata kujipaka mafuta mazuri napo fresh....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ