IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 801
Wapendwa Jf, watu wengi kwa sasa wanajishughulisha na miradi au biashara mbalimbali katika kupambana na umaskini au kujitoa katika ukata au katika harakati za kudumisha vipato vyao.
Shughuli nyingi za kujiletea maendeleo huanza kwa WAZO la biashara na kisha utekelezaji katika hatua kadhaa hufuatwa. Wengi wetu tuna tekeleza mawazo ya miradi husika baada ya kupata ushauri kutoka vyanzo mbalimbali, wengi wetu ni kwa marafiki na kwenye social network kama hizi.
Ila inapendekezwa na imeonyesha kufaulu endapo ushauri husika utaenda hadi katika upeo wa wataalamu wa mambo husika, mfano katika biashara wapo WASHAURI WAZURI, pia katika sheria na katika masuala ya KODI. Kabla ya kuanza kwa biashara husika ni vema Ujasiliamali husika ukawa na NGUVU ya ushauri kutoka vyanzo aminika. Kama kweli mjasiliamali au mfanya biashara yetote aliye makini na siliasi katika kufanikisha mradi wake hawezi kuogopa kupata USHAURI mzuri katika kutekeleza adhima ya wazo la mradi wake.
Wafanya biashara wengi nchini Tanzania; hasa wadogo (tafsiri yake izingatiwe), hufanya biashara kwa kuzingatia
ushauri wa kawaida- yaani kutoka vyanzo vya kawaida (visivyo vya kitaalamu), wengi wao hawapati ushauri wa kitaalmu na mbaya zaidi biashara nyingi hazina maandalizi ambayo ni physical; yaani business documention.
Kuandaa business documents ni mhimu hasa kwa miradi au biashara zilizo rasimishwa (ni vema biashara yako ikawa rasmi). Hapa NATAKA kusisitiza umuhimu wa Business WRITE-UPS katika kuanzisha au kuendeleza biashara yoyote iliyo na dira na mategemeo ya ukuaji endelevu. Watu wengi hapa wanao ona hakuna umuhimu kwakuwa mara nyingi biashara zao huendeshwa kwa mazoea.
MFANO Kuna wakati kama Project Consultant niliwahi kufanya tathimini ya biashara moja ya ndugu mmoja, kwakweli alinipa ushirikiano, RIPOTI ikaonyesha kwa muda wa miaka 5 biashara yake haijawahi kuingiza FAIDA (real profit). Na kwa namna fulani biashara yake ingetarajiwa kufa katika mda mfupi ujao, na pengine ingekuwa ishakufa endapo mwenye biashara asingeendelea kui-inject new capital kila mara.
Wakati wa kufanya tathimini ya biashara yake nilipata shida kwakuwa alipo anza hiyo business yake hakuandaa au kuandaliwa BUSINESS PLAN ambayo ingekuwa ni GROUND DOCUMENT na a Business assessing TOOL. Ukiacha document hii (BP) ambayo ni msingi wa biashara yako kwa maendeleo ya biashara husika HATA documents ndogo ndogo zenye taarifa ya baishara yake hazikuwepo, mwenyewe alijaaa maneno mengi kama hadithi, hivyo kutokuwa na kumbukumbu za kutosha na zenye manufaa ya kufanyia tahthimini.
Kutokana na mfano huu, tunaona kuwa kuna umuhimu mkubwa:
Kwa leo naishia hapa, nitaendelea kufanya hivyo katika kila aspect mhimu kibiashara. ILA kwa USHAURI na KUANDALIWA DETAILED BUSINESS PLAN yenye maudhui na scope ya mradi husika kwa mazingira husika(kuandaa pamoja na kuelekezana) KARIBU TUKUHUDUMIE, hakika utafanikiwa. Tunatoa pia wasimamizi (project managers) kwa ajili ya miradi mbalimbali hasa ya ujenzi na mingineyo ambayo KAZI YETU itakuwa kuhakikisha kuwa Mkandarasi au Meneja wa mradi husika anakidhi matakwa ya mradi husika ikiwa pamoja na muda sahihi wa kwisha, matumizi sahihi ya rasilimali (Fedha, watu, vifaa nk), kuandaa document za kila hatua kutokana na kufanya monitoring and evaluation
Kampuni yetu KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED ipo kwa ajili ya wote wanaodhani kuwa USHAURI wa kitaalamu huleta tija tarajiwa.
Tutembelee: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
Call 0652-656565
OFISI ipo Mbeya; ila tunahamia mkoani Dar es salaam kuanzia January 2015.

- kutafuta ushauri wa kitaalamu kuhusiana na biashara unayotaka kuanzisha au kama unataka kupanua biashara illiyopo kwakuwa umeona new opportunities nk
- Kuandaa General/a whole Business plan ambayo yaweza kuwa ya mda mfupi na mrefu- sio ya kukopi na kupaste tu BALI iwe ni DETAILED yenye taarifa kutokana na simple surveys/marketing reseaches (facts and figures ziwepo), yenye forecasts na projections za sales na revenues nk.
- Kuwa na documents ambazo ni za daily case ili kuwa na easy monitoring nk