We udhihirishiwe kuwa Mungu yupo ili iweje?
We km unaabudu kalio endelea kunusa vijambo kwa raha zako. Wenye kuabudu achana nao bi mkubwa.
Kushadadia wanamme ovyo unaweza kujikuta unapata mimba na dawa za kukinga mimba unatumia.
Shauri yako we mama wa kihutu .
Naona unarudia maneno km umekalia spoku ya San el g tena wenye kutu. Teh teh teh.
Uliza swali kisha endelea kukuna nazi huku unasubiri jibu . Mipasho rusha roho na Udaku hili sio jukwaa lake.
Ukitaka kurusha mipasho kuna jukwaa maalum la fani hio.

nani alikuambia Quran ni mkusanyiko wa Torati, Zaburi, injili ??Waislamu wenzako
Umekiacha kitabu kimoja
Waislamu wenzako.nani alikuambia Quran ni mkusanyiko wa Torati, Zaburi, injili ??
nani alikuambia Quran ni mkusanyiko wa Torati, Zaburi, injili ??Waislamu wenzako.
Umekiacha kitabu kimoja.
Na Quraninani alikuambia Quran ni mkusanyiko wa Torati, Zaburi, injili ??
Na Qurani
Waislamu wanzako wanasema hivyo.
Ongeza na Qurani ya Muhammadi.
Wanasema kitabu cha Qurani kimejumuisha vitabu vya Torati, Zaburi, Injiri na Fulcani yaani Qurani ya Muhammadi.
Tena wanasema Torati, Zaburi na Injiri sahihi zipo kwenye Qurani.
Umesikia ?
[ AL I'MRAN - 3 ]
Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili.
[ AN-NISAAI - 163 ]
Hakika Sisi tumekuletea wahyi wewe kama tulivyo wapelekea wahyi Nuhu na Manabii walio kuwa baada yake. Na tulimpelekea wahyi Ibrahim na Ismail na Is-haka na Yaakub na wajukuu zake, na Isa na Ayub na Yunus na Harun na Suleiman, na Daud tukampa Zaburi.
Tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....
Nadhani Ushaelewa.Soma hicho ulichonukuu kabla hujaposti au kiswahili kimeanza kukupiga chenga
Nadhani Ushaelewa.
Wewe huna Akili ni chiziMnavalisha watoto wadogo hijab na Kuna joto dar..ni ushetani
Kuna muda mtu akijifanya chizi, ni bora kuwa chizi zaidi yake ili awe na adabuAcha kumuiga huyo mke wa banyamulenge MK254
Wacha yeye arudie maneno ovyo manake andiko linasema.
Methali 26:4-12
Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye.
Ahsanta
TABU IKO PALE PALETudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....