Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

Acha kubwabwaja onesha maandiko yanayoruhusu hayo.
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba msamaha kutoka kwa Mungu kwa "dhambi na makosa yaliyotekelezwa na Kanisa na waumini wake … ambao walitekwa na chuki na ghasia" wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda.
Alikuwa akiongea baada ya kukutana na Rais Paul Kagame mjini Vatican.
Ombi lake la msahama limetokea baada ya ombi la Rwanda Novemba mwaka jana kwa Vatican kuomba radhi kutokana na mchango wa mapadri wa kanisa Katoliki na baadhi ya viongozi wake wakati wa mauaji hayo ya mwaka 1994.
 
Acha kujitoa akili.
Niambie maandiko ya biblia yanayosema hivyo hasa injili maana ndio imebeba ukristo.
 
Nadhani umepagawa na mapepo kiongozi.
Papa kaandikwa wapi kwenye maandiko matakatifu (Biblia)?
 
Acha kujitoa akili.
Niambie maandiko ya biblia yanayosema hivyo hasa injili maana ndio imebeba ukristo.
Wewe punguani kweli mapadri wanaomba radhi kwa kulawito watoto wa kiume wewe unaomba maandilkoπŸ˜‚πŸ˜‚ ipo siku mtoto wako atakuja kulawitiwa na Padri sijui utaomba maandiko au mwenzetu upo upande wa pili🌈
 
Nadhani umepagawa na mapepo kiongozi.
Papa kaandikwa wapi kwenye maandiko matakatifu (Biblia)?
Mapepo unayo wewe watoto wanafirwa na mapdri wewe unaomba maandiko.
Acha kujitoa akili.
Niambie maandiko ya biblia yanayosema hivyo hasa injili maana ndio imebeba ukristo.
Ripoti ya unyanyasaji wa kingono ndani ya Kanisa Katoliki nchini Ujerumani imefichua kwamba zaidi ya nusu ya wahanga walikuwa chini ya miaka 13 na wengi wao wakiwa ni wavulana. Na kila shauri la sita lililopitiwa lilihusisha ubakaji na angalau mapadri 1,670 walihusishwa. Takribani matukio 969 ya wahanga wa unyanyasaji huo walikuwa ni wavulana waliohudumia altareni.
 
China na Japan ni wakristu ? India ni wakristu , hv una matatizo gan kichwan ? Hadi mataifa ya kiislam yalipigana ,ushasema VITA VYA DUNIA wkt huo huo Kichwa chako bogus kinaita ni vita ya wakristu , waislam wakiwa misikitin wanafundisha ujinga sn , nliwai panda gar moja la Temeke _Toangoma , nlikuta mawaidha yanapotosha watu na dereva na konda wanaona sw kisa waliopanda humo ni waislam pia nliwai kuta mama mmoja pale mbagala anasikiliza mawaidha fulan hv yanachochea chuki nani ni uongo kbs
 
Wewe punguani kweli mapadri wanaomba radhi kwa kulawito watoto wa kiume wewe unaomba maandilkoπŸ˜‚πŸ˜‚ ipo siku mtoto wako atakuja kulawitiwa na Padri sijui utaomba maandiko au mwenzetu upo upande wa pili🌈
Umefuga majini hadi akili zimekuwa kijini jini.
Hoja yako hapo ni nini?
Kuitwa padre ndio kuwa binadamu tofauti?
Nioneshe maandiko yanayoruhusu hayo.
 
Ukishakuwa shoga na akili inahama sijii kwa nini au pipe unazokitana nazo.

Kanisa Katoliki nchini Canada limetoa taarifa likiomba radhi kwa mauaji ya umati yaliyofanywa dhidi ya wenyeji asilia wa nchi hiyo katika shule za bweni za Waamishonari zilizokuwa zikisimamiwa na kanisa hilo.

Taarifa ya Kanisa Katoliki nchini Canada imeeleza kuwa, sisi maaskofu wa Kanisa Katoliki tumesikitishwa mno na tukio la mauaji ya umati dhidi ya wenyeji asili wa nchi hiyo na tunaomba radhi kwa matukio hayo.

Taarifa hiyo ya kuomba radhi Kanisa Katoliki nchini Canada inatolewa baada ya kupita miezi kadhaa tangu kugunduliwa mamia ya makaburi ya umati yasiyojulikana na maeneo ilipozikwa miili ya watoto wa wakazi asilia wa waliokuwa wakishikiliwa katika shule hizo.

Tangu mwezi Mei mwaka huu, kumegunduliwa takribani makaburi 1200 yasiyojulikana yenye makaburi ya miili ya watoto wa shule za bweni za British Colombia, Saskatchewan na Manitoba nchini Canada.
 
vita ya kikabila ile , ila je ma imams wameomba msahama kwa kugeuza misikiti sehem ya kusajili magaid ya Alshabab
 
Wewe punguani kweli mapadri wanaomba radhi kwa kulawito watoto wa kiume wewe unaomba maandilko[emoji23][emoji23] ipo siku mtoto wako atakuja kulawitiwa na Padri sijui utaomba maandiko au mwenzetu upo upande wa pili[emoji304]
mkuu je Muddy aliomba radhi ?
 
Muddy kuwa Shoga ni sahihi?
 
Mtoto wa kiume unaitwa mdusi kuna nini kama siyo Shoga halafu shoga kigori umezaliwa 94[emoji1787]
mkuu ushapagawa ? Muddy kuwa Shogani sahihi maana alinyonya mashine ya kidume chenzie, hatujui kama aliishia kunyonyaa au alipigwa mti kbs
 
kwan hujui kusoma ? kuna swali tangu muda unaulizwa ila hujibu unakwepa unajenga hoja isiyohusiana na swali , ebu swali acha utoto la sivyo huamin kama yupo mungu
Swali gani hilo ? mbona mimi najibu maswali humu muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…