umwa vyote lakini siyo jino,msaada wa dharura anayejua tiba ya asili ya jino

umwa vyote lakini siyo jino,msaada wa dharura anayejua tiba ya asili ya jino

Asante mkuu nakumbuka dawa ya sikio nilikosa ni bangi kuna mtu alinambia ukipata bangi mbichi uweke maji yake shida ikaja ntapata wapi bangi[emoji23] [emoji23] [emoji23] yan nilikuankama mjinga ninachoambiwa nipate ile relief sikio linauma jamani khaa na mwili wabinadam hauna shirika ukiumwa sikio jino had kichwa chote unaona sio chako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana mtoa mada leo analia Jino ila hajui kuna sikio,
Kiungo cha nwanadam kikiuma kimoja basi mwili wote unaathirika.
Niliwah kuumwa sikio nikiwa mdogo sana before kuanza primary ila kile kilio nakikumbuka hadi leo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole na wewe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole na wewe
Asante sana.

Hata ngiri.....
Hii nayo niliumwa utotoni sana,lakini mateso nayakumbuka.
1.Ilikuwa siwez kula UPORO WA UBWABWA,sasa utotoni wenzio wanakula UBWABWA wewe unakula mihogo,ila chanzo ni ngiri.
2.Marufuku kuoga maji ya MVUA.
Kifupi nilikuwa naumwa sana,baridi saa 7 mchana,
Japo nilikuwa mdogo ila ule mbinyo naukumbuka,sikumbuk nilipona kwa dawa gani maana nilikuwa mdogo sana ila kuna mzee mwenye asili ya Ushelisheli alikuwa akiishi peke yake sasa mzee alikuwa akimwezesha ndo alifanya tiba nikapona,
NGIRI ikikushika kama unatembea unabak unaganda tu unaweza shindwa hata kukaa
 
Ngiri s ndio henia??
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Duh! Jino likiwa linauma, unaweza vua nguo, ukifikiria ni nzito ukiwa barabarani.

Sitasahau maumivu yake.
Nilitibiwa na bibi mmoja kwa dawa za asili.

Duh! Niliumwa jino la pembeni, lakini dawa yake ya maji ilipita sikio la upande wa jino hilo usiku wakati wa kulala.

Niliitumia kwa siku tatu tu. Nikawa fiti.

Hakuna ugonjwa mdogo. Kila ugonjwa ni mkubwa kwenye mwili wa binadamu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Asante mkuu nakumbuka dawa ya sikio nilikosa ni bangi kuna mtu alinambia ukipata bangi mbichi uweke maji yake shida ikaja ntapata wapi bangi[emoji23] [emoji23] [emoji23] yan nilikuankama mjinga ninachoambiwa nipate ile relief sikio linauma jamani khaa na mwili wabinadam hauna shirika ukiumwa sikio jino had kichwa chote unaona sio chako

Bangi mbichi ni dawa ya sikio
 
  • Thanks
Reactions: SDG
kama uko dar es salaam nenda tabata aroma uliza kwa dokta bingi huyo atatatua matatizo yako yote yahusuyo meno.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ukiumwa nasikio pia utasema kama ulivyosema
Mwili wa binadamu unatakiwa uwe salama tu ukipata tatizo lazima ulalamike tu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkuu, kuna sikio na pumbu....Mzee unalia kama mtoto
Ukipindwa ngiri utatoa kilio kama beberu!

Ukibanwa mkojo unaona unavyokuharakisha ukautoe inakuwaje ukiziba!

Si jambo la maana saaana kufanya ulinganifu wa Maumivu
 
maumivu ya jino ni makali sana,jino linalouma ni la mbele ambalo niliwahi kuliziba.Nisaidieni tiba za asili kwa maana huenda itasaidia kuponyesha,kung'oa jino la mbele yahitaji moyo,natanguliza Shukran zangu kwenu nyote
Ni kungoa tu aise mm mwenyewe nilikuwa mbishi lakini siku lilivyosema basi niliamka 10 alfajiri ili tu niwahi foleni jino linauma asikuambie mtu
 
Dawa ya jino ni kuling'oa tu. Jino likianza kuuma, ujue tayari limetobolewa na wadudu na ndani limesha oza. Ukiliacha, wadudu watahamia kwenye meno yaliyo jirani. Hivyo nenda kalitoe....Mimi nilisumbuliwa na jino la mbele chini, na niliambiwa nitumie dawa hizi, Lakini mwisho wake nililitoa..:---1. Mzizi wa mpapai dume, unautafuna na kuuacha karibu na jino Lakini tema mate yanapojaa mdomoni usiyameze. 2. Weka pamba yenye mafuta ya taa kwenye jino wakati wa kulala...3.weka pamba yenye mafuta ya karafuu...4. Kinga kwenye chombo mkojo wako wa asubuhi kisha sukutua usimeze..5. Weka unga wa aspirin kwenye jino..Hizi dawa zote, ni za kutuliza tu baada ya masaa maumivu yanarudi pale pale. Nenda kaling'oe hilo limesha oza. Kuendelea kutunza jino lililooza unakaribisha kansa ya taya.
 
Pole! Kiungo chochote cha mwili kikiuma ni kasheshe. Pata matibabu hospitalini.
 
Mkuu, kojoa mkojo wako asubuhi ukiwa fresh kabisa, weka kwenye chombo safi then sukutua mdomoni kila siku asubuhi...
Kila siku mkojo fresh, sukutua kwa siku 3, utasahau maumivu ya jino.
 
Back
Top Bottom