The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Tanzania tuna Dakatari wa uchumi. Aliyejimwambafai na kutueleza kwamba mambo yote ya kiuchumi wa nchii tumwachie yeye.
Sisi na akina Luhaga Mpina tuendelee kujadili Mambo ya kiganga na kucheza singeli
Mkimwona msalimieni sana mwambieni huku mtaani tunaishi kwa nguvu ya macho..wala hatuji.kama kesho tutafika..
Mods Isomeke "Ukimwona"