UN General Assembly Calls for Israeli Withdrawal from Golan Heights

UN General Assembly Calls for Israeli Withdrawal from Golan Heights

Hili eneo lilitekwa baada ya Syria kuivamia Israel hivyo haliwezi kurudishwa kwa maazimio ya mezani. Israel alishawaambia Syria walisahau hili eneo.
Uchokozi unaofanywa na Hezbollah utasababisha Israeli ateke eneo lingine huko Lebanon.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Lebanon [emoji1146] ipi arejeshe kwanza baadhi ya maeneo aloyatema mwaka 2006
 
Nyi mbona hamkuikalia Uganda baada ya kumshinda nduli,au walau wilaya moja tu kusini mwa Uganda!?..uwe unatumia akili
Uganda tuliikalia miaka mingi tu, Marais wote kabla ya Museven waliwekwa na Nyerere, wakimuudhi anawatimua, mfano Tito Okelo, Bimaisa n.k sijui ulikuwa na umri gani
 
Marekani, Canada, Uingereza na Australia wapo upande ww Israel kukataa ombi hilo [emoji23][emoji23] Hatoki mtu hapo.

Hivyo vinchi vidogo vidogo hata vikijikusanya ni sawa na dua la kuku kwa mwewe
Alisikika mkazi wa kwa mtoro kushiba propaganda za magharibi
 
Siyo mara ya kwanza UN kupitisha azimio kama hilo lakini hakuna utekelezaji!
Israel haiwezi kuirudisha milima hiyo ambayo ni ya kimkakati kijeshi.
 
Uganda tuliikalia miaka mingi tu, Marais wote kabla ya Museven waliwekwa na Nyerere, wakimuudhi anawatimua, mfano Tito Okelo, Bimaisa n.k sijui ulikuwa na umri gani
Binaisa siasa zililazimu,Uganda ikimtaka zaidi Yusuf lule ambaye Nyerere hakumtaka na sababu inajulikana, Israel wapo golan Hadi Leo,nyinyi Hadi Leo mpo wilaya gani huko Uganda!?
 
Siyo mara ya kwanza UN kupitisha azimio kama hilo lakini hakuna utekelezaji!
Israel haiwezi kuirudisha milima hiyo ambayo ni ya kimkakati kijeshi.

Baraza la usalama la UN likiptisha jambo ni lazima permanent member wenye kura ya veto wote watano wakubaliane.

Upande mmoja USA ipo na Israel na upande mwingine USA huyohuyo apige kura kwny maazimio against israel, inawezekana kweli?
 
Uganda tuliikalia miaka mingi tu, Marais wote kabla ya Museven waliwekwa na Nyerere, wakimuudhi anawatimua, mfano Tito Okelo, Bimaisa n.k sijui ulikuwa na umri gani
Hata museven mwenyewe kawekwa na Nyerere hapo ufadhili wote wa mapinduzi yake ulikuwa hapa.

Museven ana heshima kubwa sana kwa Tanzania especially kwa Nyerere na familia yake nzima mara nyingi hujiona ni mmoja wa wanafamilia ya Nyerere
 
Back
Top Bottom