Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Lebanon [emoji1146] ipi arejeshe kwanza baadhi ya maeneo aloyatema mwaka 2006Hili eneo lilitekwa baada ya Syria kuivamia Israel hivyo haliwezi kurudishwa kwa maazimio ya mezani. Israel alishawaambia Syria walisahau hili eneo.
Uchokozi unaofanywa na Hezbollah utasababisha Israeli ateke eneo lingine huko Lebanon.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Uganda tuliikalia miaka mingi tu, Marais wote kabla ya Museven waliwekwa na Nyerere, wakimuudhi anawatimua, mfano Tito Okelo, Bimaisa n.k sijui ulikuwa na umri ganiNyi mbona hamkuikalia Uganda baada ya kumshinda nduli,au walau wilaya moja tu kusini mwa Uganda!?..uwe unatumia akili
Alisikika mkazi wa kwa mtoro kushiba propaganda za magharibiMarekani, Canada, Uingereza na Australia wapo upande ww Israel kukataa ombi hilo [emoji23][emoji23] Hatoki mtu hapo.
Hivyo vinchi vidogo vidogo hata vikijikusanya ni sawa na dua la kuku kwa mwewe
Kwani hiyo Golan 8 Israel walipewa na UN??,, kama vita haisahau mazimaUN General ambayo baba yao mkuu ni USA? Ambaye mtoto wake pendwa ni Israel?
Binaisa siasa zililazimu,Uganda ikimtaka zaidi Yusuf lule ambaye Nyerere hakumtaka na sababu inajulikana, Israel wapo golan Hadi Leo,nyinyi Hadi Leo mpo wilaya gani huko Uganda!?Uganda tuliikalia miaka mingi tu, Marais wote kabla ya Museven waliwekwa na Nyerere, wakimuudhi anawatimua, mfano Tito Okelo, Bimaisa n.k sijui ulikuwa na umri gani
Siyo mara ya kwanza UN kupitisha azimio kama hilo lakini hakuna utekelezaji!
Israel haiwezi kuirudisha milima hiyo ambayo ni ya kimkakati kijeshi.
Wengine humu baba zako wa kufikia, kuwa na adabu au mpaka siku utukute chumbani kwa mama yako huku bi mkubwa wako kavaa upande wa kanga nadhani ndo utakuwa na adabu,,, I'd fake ukijificha nyuma ya keyboard kusikupe ujeuri mbwa wewe..Unaf****rwa braza
Hata museven mwenyewe kawekwa na Nyerere hapo ufadhili wote wa mapinduzi yake ulikuwa hapa.Uganda tuliikalia miaka mingi tu, Marais wote kabla ya Museven waliwekwa na Nyerere, wakimuudhi anawatimua, mfano Tito Okelo, Bimaisa n.k sijui ulikuwa na umri gani