Wakenya wana uwezo mdogo sana wa kufikiria, wapo wachache sana wenye uwezo wa kufikiria. Yaani Kenya na Tanzania ya sasa, ni" reflection" ya waanzilishi wa mataifa haya mawili.
Wakati Nyerere aliongoza nchi kwa kutumia akili nyingi Sana kufikiria, Jommo Kenyatta alitumia kanuni ya "Divide and rule", alitumia ukabila, kujisifia, ubinafsi na kujilimbikizia Mali.
Ndicho kilnachotokea kwa kizazi cha sasa cha wakenya, kamwe hawajengi hoja, badala yake ni kutumia ukabila, kujisifu na ubinafsi wa kujinufaisha.
Sent using
Jamii Forums mobile app