UN & ICJ Kuamua Utaifa Wa Zanzibar:Wazanzibari Wapeleka Rasmi Kilio Chao

Macos,

1. Hii notion ya kwamba watanganyika wanapenda muungano ni fabrication ya Nyerere na viongozi aliowachota, watanganyika wengi hawajawahi kufika Tanzania, let alone Zanzibar, and they could care less about Zanzibar despite the fading historical connotations.Watu hawana chaklula unataka kusema muungano utakuwa muhimu kwao kuliko chakula, elimu na matibabu?

2. I condescendingly forgive the caps

Umesema

AKASAINI BILA YA KUSHIRIKISHA HATA MTU MMOJA KATIKA VIONGOZI WENZAKE....WAZANZIBAR HAWAKUSHAURIWA...

Inawezekana ilikuwa hivyo, lakini kuna wengine walisema baraza la wawakilishi ilipitisha muungano huu. Una ushahidi gani kuhusu hili?
 

Huna hoja ya maana hizi porojo tu. Unafikiri Tanganyika ikiwa ni ya wakatoliki mtafanya nini? Mtaishia kulia tu kama ambavyo mmezoea, labda mkanzisha boko haram, na huu utakuwa mwisho wenu make zanzibar itawekwa chini ya utawala wa kijeshi.
 
Huna hoja ya maana hizi porojo tu. Unafikiri Tanganyika ikiwa ni ya wakatoliki mtafanya nini? Mtaishia kulia tu kama ambavyo mmezoea, labda mkanzisha boko haram, na huu utakuwa mwisho wenu make zanzibar itawekwa chini ya utawala wa kijeshi.
Utawala wa kijeshi?????
Ha ha ha ha ha ha mtaota hivyo hivyo mpaka kuche!!!!
 
heh utawala wa kijeshi tena mbona umesahau dunia ya leo haikubaliki tena jeshi kushika madaraka mbona znz inakuumeni sana wakati bara kuna shida tena sana tunangojea huo utwala wa kijeshi kumbuka hakuna lililo na mwanzo lisiwe na mwisho
 
kazi gani watanganyika wanayo weza kuifanya zaidi ya Wizi? hivi kweli wengekuwa wanaakili wengekuwa wakifa njaa ardhi kubwa mno walio nayo lakini yote ni bure tu mpaka wapate mtu wamuibie ndio waweze kuishi.

Wabara tunakata kiuno wewe. Nyerere ilibidi atuwekee kizuizi kwa VIZA na Passport Zanzibar maana ile Zenji yote leo kungelikuwa kumejaa majina na sura za BARA. Kungelikuwa hakuna hata kitone cha UARABU....'mamaye.

Bara poa wewe. Unaona hata mlianzisha Zanzibar forums zimefikia wapi? Mmegombana wenyewe na mmekimbilia JF. Halafu leo unasimama hapa na kusema TUNAWEZA KAZI GANI? Camaaan!!!!!
 
heh utawala wa kijeshi tena mbona umesahau dunia ya leo haikubaliki tena jeshi kushika madaraka mbona znz inakuumeni sana wakati bara kuna shida tena sana tunangojea huo utwala wa kijeshi kumbuka hakuna lililo na mwanzo lisiwe na mwisho

Hakuna kinachotuuma. Mngelikuwa na AKILI nzuri mngelikuwa mmepewa hivyo vimichanga katika bahari ya hindi. Tatizo ni pale hata kuongea mnaongea Pumba hadi mnaleta raha.

Muungano tuliletewa na USA wakishirikiana na UK. Kama hilo hamlifahamu basi poa sana. Na kama mnaenda UN kwenda kudai UHURU basi lazima mfahamu kuwa mwapeleka kesi ya Ngedere kwa Nyani. Heri mfuate maneno ya Bluray kuwa MJE TUBANANE TU DODOMA. Hapo ndipo ningeliona kweli mna akili, vinginevyo mhhhhh......
Nakubaliana na wale wanaosema kuwa "Kuiachia Zanzibar ni sawa na kujiombea WAKIMBIZI kutoka Mashariki mwa Tanganyika. Tumelisha Watusi na Wahutu kwa mamilioni. Tumelisha Wacongo, Malawi, South Africa nk na sasa mtu kutoka Zanzibar naye anahamu ya kuona KIPIGO tena ili awe Mkimbizi? Mkimbilie wapi? UK siyo? Wakati ule mlikimbilia UK kwa kusema nyie ni CUF, wengi leo wanalilia kurudi Nyumbani maana walichana Passport baada ya kujilipua. Jamani huko hakufai.

Dawa ya MUUNGANO ni moja kati ya hizi: (THE WINNER TAKES ALL).
1. Mkishinda referendum, basi MUUNGANO UNAKUFA.
2. Mkishindwa referendum, basi "Muungano" unakufa na inabaki TANZANIA bila neno JAMHURI YA MUUNGANO na Zanzibar kama Mkoa tu.....

Ila ili kusolve hilo, nafikiri kuna ULAZIMA wa kulimaliza hilo. Na hili lazima lifanyike hadi BARA. Haki ya nani mie nimekuchokeni long time ago. Kahama kutawala Tanganyika? Na lugha ya Taifa iwe Kisukuma, teteteteee
 
Dawa ya MUUNGANO ni moja kati ya hizi: (THE WINNER TAKES ALL).
1. Mkishinda referendum, basi MUUNGANO UNAKUFA.
2. Mkishindwa referendum, basi "Muungano" unakufa na inabaki TANZANIA bila neno JAMHURI YA MUUNGANO na Zanzibar kama Mkoa tu.....

Du!, sijui kama wakubwa wetu wanapita humu. Lakini kama wao hawapiti wapambe wao watakuwa wanapita na kuwapa taarifa, lugha si nzuri!. Inapofikia hali hii si ya kunyamazia, naungana na mawazo ya REFERENDUM. Tena kama walivyoshauri wengi humu, kabla ya uchaguzi mkuu. Ikiwezekana iwe wazi kama mawazo hapo juu, lakini si kushinda na kushindwa.
  1. Wengi wakiukataa Muungano, basi ufe.
  2. Wengi wakiukubali Muungano, iwe serikali moja.
 
Umaskini ndio unaosumbua watu hawa; pale Zanzibar kuna watu wanadhani kuwa wamekuwa maskini kwa sababu ya muungano. Hasa hasa wana imani kuwa bila ya kuwapo na muungano wangekuwa wanapata misaada hasa kutoka nchi zenye utajiri wa mafuta kama Saudi Arabia na Irani. Endapo nchi nzima ingekuwa tajiri isiyohitaji misaada kama ilivyo USA leo ambayo ni muungano wa majimbo zaidi ya 50, usingesikia kelele za namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…