Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 137
Si ajali ya kihistoria bali ni makusudi mazima na roho mbovu ya "Mtakatifu Mwalimu"
No, ajali ya kihistoria ndiyo iliyomfanya Mwalimu auze haki yake ya uzaliwa Tanganyika kwa ndoto ya umoja wa Afrika.
Yaani shukuruni Nyerere alikuwa civil, angekuwa brute angeifanya Unguja kuwa wilaya ya Mkoa wa Pwani na Pemba wilaya ya Tanga, kama ilivyo Mafia.Kwani mafia Unguja na Pemba kuna tofauti gani? Na kwa nini mafia iwe wilaya Unguja na Pemba zisiwe?
Bahati yenu Mwalimu hakuwa na roho ya kuwakandamiza kama alivyofanya Selassie huko Eritrea.