UN & ICJ Kuamua Utaifa Wa Zanzibar:Wazanzibari Wapeleka Rasmi Kilio Chao

UN & ICJ Kuamua Utaifa Wa Zanzibar:Wazanzibari Wapeleka Rasmi Kilio Chao

Si ajali ya kihistoria bali ni makusudi mazima na roho mbovu ya "Mtakatifu Mwalimu"

No, ajali ya kihistoria ndiyo iliyomfanya Mwalimu auze haki yake ya uzaliwa Tanganyika kwa ndoto ya umoja wa Afrika.

Yaani shukuruni Nyerere alikuwa civil, angekuwa brute angeifanya Unguja kuwa wilaya ya Mkoa wa Pwani na Pemba wilaya ya Tanga, kama ilivyo Mafia.Kwani mafia Unguja na Pemba kuna tofauti gani? Na kwa nini mafia iwe wilaya Unguja na Pemba zisiwe?

Bahati yenu Mwalimu hakuwa na roho ya kuwakandamiza kama alivyofanya Selassie huko Eritrea.
 
Pole Mkuu, usilolijuwa usiku wa kiza....sisi ndo tunajuwa adhabu ya kaburi...
Nyerere hakuuza haki yake ya uzawa kwa ndoto ya Umoja wa Afrika, mbona hakulazimisha EAC kuungana tena ilipovunjika 1967(kachangia ivunjike) na kwanini alilazimisha Zanzibar isihoji Muungano kama kweli alikuwa na dhamira hiyo na kwanini asitafute nchi nyengine kuungana ambazo zipo jirani zaidi kama kweli alikua na dhamira ya umoja wa kweli na si unafiki.
Mkuu mm sitaki kwenda huko lakini kwa ukandamizaji kale kazee kalistahili kuuwawa kama Samuel Doe na si kufa kitandani S.t Thomas na kuzikwa kwa gharama za walipa kodi nyingi kiasi kile.
 
AG bara hatuambii upo wapi.

Mkataba wa Muungano umefichwa, Tanganyika wanajuwa ulipo .. na ndo maaana wanaficha makusudi

Ya kweli hayo?

Nakala yenu ya Muungano nyinyi hamkupewa?

Yakhe umenunua fuko la karafuu baada ya miaka 40 warejea sokoni kumdai Mwinyi Fuadi akuthibitishie weye kwamba ulinunua ng'ombe kwake, kwani weye hukutunza stakabadhi ati? Akutunzie mwenzio?

Na mliyemtuma kununua ng'ombe kalamu ajua kuitumia, skuli si akenda? Nakala yake wangemnyima ati?

usaini_wa_mkataba.jpg

Tusema Ustaadhi kadondosha karatasi pwani akirejea Unguja. Pakacha lavuja. Mwenzie nakala tunzo kibindoni.

Jaribu mwombe kwa kauli zisizo hiana. Wataka cha uvunguni shurti mwinamie. Hutaki, talaka hakupi, hata rejea.
 
kale kazee kalistahili kuuwawa kama Samuel Doe na si kufa kitandani S.t Thomas na kuzikwa kwa gharama za walipa kodi nyingi kiasi kile.

Junius,

Huyu Mwalimu amewasaidia sana Visiwani! Visiwani walichinjana kama kuku 1964 mwalimu akamhifanya Sultani na kumkamata Okello..leo hii unasema angeuwawa kama Doe??

Muungano ndo umeleta amani..na wale sectionalists wakaja bara ndo wakatulia na mwalimu aliwapa madaraka ..kama akina Babu!

Nadhani Visiwani waamue kuwa serikali yao au Muunguno through referendum!

Bara ni vibaya kuwa hostages kwa ajili tu ya watu milioni moja ambao hawana shukrani..na kudharau historia yetu tulivyowasidia!
 
Ya kweli hayo?

Nakala yenu ya Muungano nyinyi hamkupewa?
Mkataba umesainiwa kweli na nakala tumepewa labda.
Kama "petition" ya Jumbe(then rais wa Zanzibar) ilipotea ikiwa ikulu na kukutikana mikononi mwa Dikteta Nyerere baadae,itakuwa mkataba wa Muungano?
Nakala mmetupa kwa mkono wa kulia na kutunyan'ganya kwa mkono wa kushoto.
Nasisitiza tena Iddi Pandu Hassani, AG Z'bar,karibuni kabisa kanukuliwa akisema hajuwi mkataba wa muungano ulipo. Sasa kama Tanganyika wanania njema si waseme sisi kopi tunayo mnataka ya nini?
Badala yake Jaji aliyetupilia mbali maombi ya Wazanzibari mahakama kuu Z'bar,kwa agizo la SMT, amepewa ujaji katika Mahakama ya Rufani tanzania wakati si Mwanasheria!!!
 
Junius,

Huyu Mwalimu amewasaidia sana Visiwani! Visiwani walichinjana kama kuku 1964 mwalimu akamhifanya Sultani na kumkamata Okello..leo hii unasema angeuwawa kama Doe??
No,samahani asinge uwawa kama Doe(nimempendelea) alistahili kufa kifo cha heshima zaidi ya hadhi yake kama Sadam Hussein.
 
Muungano hauna maendeleo yoyote kwa ZNZ; ni bora uvunjwe tu. Hii ni 21 Century kila nchi imeshapata uhuru wake. Msisubiri UN, mnaweza kujitangaza Independence yenu; halafu UN baadae wataitambua ZNZ kama ni nchi. Zipo formula nyingi za kujitangaza Independence; siyo lazima muende UN. Msisubiri sana kujitangazia Independence yenu; huu ndiyo muda mzuri.
 
On what authority of your consideration the ICJ or UN can not entertain the matters?
What about if the situation is set to endangering the world peace and tranquility such that it will incur the UN to spend on peacekeeping forces missions and other resources in future to solve the isles problems which pose such dangers to the region. For the UN the memory is still fresh on plagued issues of Congo, Katanga, East Timor, Korea to mention few.

Junius,

Just to help you in this matter, if UN have to consider sending a peacekeeping force to the Island then their first option will be JWTZ!.

How many people in Pemba and Unguja support this idea??? who do you think have the right to protect them? Do you know the issue of Abakhazia?

Peace!
 
Uchaguzi wa 2010 ni lazima wananchi wapewe nafasi ya kuamua moja kwa moja kuhusu muungano, kwa kuupigia kura ya maoni itakayosimamiwa na wasimamizi mahiri wa kimataifa.Hakuna kiinimacho cha ratification ya bunge wala baraza la wawakilishi.

Mimi wa kwanza kusema hapana kwa muungano, tumechoka kisiwa ambacho ni kidogo kuliko Kahama kwa kila kitu (eneo, population natural resources etc) kitukalie kooni eti tu kwa sababu ya ajali ya kihistoria.

,,,,aah hata mimi ntasema NDIO kwahio kura ya maoni,nimechoka na mikelele ya hawa wanasiasa uchwara wanaotoa malalamiko mapya kila kukicha,ntachukua mke wangu wa KIPEMBA(Bi SALHA),na wanangu wawili ambao rekodi zao zipo pale Mambo Msije,ntawarudisha kwa babu zao huko MASKATI fisi(NZEGA),kwenye waarabu mpaka vijijini ambao hawana ubaguzi wala makelele yasio na kichwa wala miguu,Kama jambo ndio lishatokea,BABA zetu ndio walisha amua kutuunganisha.Wale wa TANGANYIKA sio kwamba HAWAUPENDI Utanganyika wao,ni watu waliokuwa tayari kuwa wa TANZANIA zaidi,imebakia kila siku tunaskia tu,oooh Zanzibar inajulikana tangu enzi hizo,ooh Zanzibar ilikua na kiti chake UN,sasa kwani nani hajui ka Tanganyika ilikuwepo tangu enzi hizo,kwani mnataka kusema hao Tanganyika hawakua na kiti huko UN???,,Acheni U mimi na Uzanzibarism,kama kweli tunaweza,itisha hio referendamu ili tujue moja sasa.
 
He he he Mkataa asili Mtumwa
 
sasa je wakishapata uhuru wa taifa lao ndo meandeleo?? Je Comoro na Madagaska wako huru toka hapo.. choka mabya tu!

Visiwani hawataki kufanya kazi ni siasi tu na kulalamika..mimi nadhani mtu akililia wembe mpe!

Bara hakuna cha maana wanachofaidika nacho kwa kung'ang'ania watu mil. 1 wanaopenda sana kulialia na kulalamika kila siku!

Pinda alishaonya kuwa..kama hakuna Muungano Bara poa tu ni nchi kubwa..sema Visiwani watapata shida na taabu!

leo nimefika mahali na kuelewa kuwa hii Tanganyika ni kisima cha kujichotea mali ukielewa jinsi gani kuwazidi marifa na ujanja watu wake, na ndio leo ndio unakuta mambo kama kina EPA sijaona hata watanganyika wanashindwa kutetea Tangayika yao inapokuja hoja zanzibar wanapopiga kelele kubwa watanganyika utwasikia zanzibar wakijitowa hivi itakuwa vile wacha iwe itakwavyokuwa waswahili wanasema pilipili usio ila wewe yakuwashiani, kama kweli kuna machungu juu ya zanzibar basi mtakuwa watu wa majabu mshindwe kuwatetea na kuwapigania ndugu zenu wa damu na koo wanaoishi vijini huko ambao maisha yao wanayoishi hayana tafauti na yale ya watu wanaoishi kule KALAHARI.
 
Attachments

  • life in Tanzania.jpg
    life in Tanzania.jpg
    51.4 KB · Views: 46
leo nimefika mahali na kuelewa kuwa hii Tanganyika ni kisima cha kujichotea mali ukielewa jinsi gani kuwazidi marifa na ujanja watu wake, na ndio leo ndio unakuta mambo kama kina EPA sijaona hata watanganyika wanashindwa kutetea Tangayika yao inapokuja hoja zanzibar wanapopiga kelele kubwa watanganyika utwasikia zanzibar wakijitowa hivi itakuwa vile wacha iwe itakwavyokuwa waswahili wanasema pilipili usio ila wewe yakuwashiani, kama kweli kuna machungu juu ya zanzibar basi mtakuwa watu wa majabu mshindwe kuwatetea na kuwapigania ndugu zenu wa damu na koo wanaoishi vijini huko ambao maisha yao wanayoishi hayana tafauti na yale ya watu wanaoishi kule KALAHARI.

Babylon,

Bara hudharau hizi kelele ..unajua eneo na uchumi wa Visiwani na Idadi ya watu ni sawa na Wilaya ya Kahama tu!!

Jua Bara kuna Wilaya zaidi ya 130!

Sii wengi sana bara wanamind haya mambo ya Muungano wapo wanchapa kazi tu..sii kama Visiwani..watu wanatumia mda wao bila kufanya kazi kulalamika!

Hakuna kitu kibaya kwa mtu mzima kulalamika kila siku hata bila kuwa na sababu!

Muhimu..tuwe na referendum!
 
kwani kabla ya kunganishwa hiyo Tanu na ASP 1977walikuwa wanaishi vipi si walikuwa na mamuzi yao na mambo yao ?wache wafanye mamuzi yao chukulia wewe binafsi unavyochukwa mamuzi juu ya maisha yako.
 
kazi gani watanganyika wanayo weza kuifanya zaidi ya Wizi? hivi kweli wengekuwa wanaakili wengekuwa wakifa njaa ardhi kubwa mno walio nayo lakini yote ni bure tu mpaka wapate mtu wamuibie ndio waweze kuishi.
 
Babylon,

Bara hudharau hizi kelele ..unajua eneo na uchumi wa Visiwani na Idadi ya watu ni sawa na Wilaya ya Kahama tu!!

Jua Bara kuna Wilaya zaidi ya 130!

Sii wengi sana bara wanamind haya mambo ya Muungano wapo wanchapa kazi tu..sii kama Visiwani..watu wanatumia mda wao bila kufanya kazi kulalamika!

Hakuna kitu kibaya kwa mtu mzima kulalamika kila siku hata bila kuwa na sababu!

Muhimu..tuwe na referendum!

mzalendohalisi.
hata zanzibar kama ina ukubwa wa kajimtaa kamoja tu ka tanganyika hiyo sio hoja. hoja ni kwamba mulipoungana nayo ilikuwa nchi kamili na huru. mahesabu yako ya base kwamba nchi mbili huru ziliungana na yasi base kwenye idadi ya watu ama ukubwa wa eneo la kijiografia. unajua zanzibar tumepoteza kila tulichohitajika kuwa nacho as a free state kwa kujiingiza kwenye huu the so called muungano?, na on the other hand tanganyika wamekuwa wakipata double benefit kwa kutumia jina la serikali ya muungano lakini ukiangalia deep inside hakuna serikali ya muungano ,kuna serikali ya tanganyika iliojivika jina la serikali ya muungano.

sijenda shule, lakini naomba kuwakilisha.
 
kwani kabla ya kunganishwa hiyo Tanu na ASP 1977walikuwa wanaishi vipi si walikuwa na mamuzi yao na mambo yao ?wache wafanye mamuzi yao chukulia wewe binafsi unavyochukwa mamuzi juu ya maisha yako.

watu tumieni akili kwani Karume ni mbara au? Si mmwambie mnacho taka? Hapa tatizo ni CCM siyo ubara wala utanganyika.
 
Msizunguke mbuyu tatizo lingine wazanzibari ukiwaacha na pindi wakipewa pipi tu na osama basi zanzibar itakuwa kambi ya al qaeda.

Wazanzibari ni wavivu kwa hiyo lazima watakubali kuletewa tende na osama, hatutaki kukaribisha magaidi, mfano ni mzanzibari aliyeko selo marekani, fikiria kwanza aliwaua wenzetu pale ubalozi wa marekani.
 
Pole Mkuu, usilolijuwa usiku wa kiza....sisi ndo tunajuwa adhabu ya kaburi...
Nyerere hakuuza haki yake ya uzawa kwa ndoto ya Umoja wa Afrika, mbona hakulazimisha EAC kuungana tena ilipovunjika 1967(kachangia ivunjike) na kwanini alilazimisha Zanzibar isihoji Muungano kama kweli alikuwa na dhamira hiyo na kwanini asitafute nchi nyengine kuungana ambazo zipo jirani zaidi kama kweli alikua na dhamira ya umoja wa kweli na si unafiki.
Mkuu mm sitaki kwenda huko lakini kwa ukandamizaji kale kazee kalistahili kuuwawa kama Samuel Doe na si kufa kitandani S.t Thomas na kuzikwa kwa gharama za walipa kodi nyingi kiasi kile.

Na shangaa hata hii CCM kwa nini inawang'ang'ania wazenji.
 
ZANZIBAR UKWELI NI KOLONI LA TANGANYIKA HUU NDIO UKWELI...NYERERE ALIWAHI KUITA WANDISHI WA HABARI MIAKA YA 1962 NA KUWAMBIA KAMA ANGEKUA NA UWEZO BASI ANGEVISUKUMA VISIWA HIVI NJE HUKO MBALI VITOKOMEE VIZAME...LAKINI HAKUWA NA UWEZO..HIVO ALICHOFANYA NI CONSPIRANCY KUBWA DHIDI YA WAZANZIBAR KWA KUMTUMIA KARUME AKAFANYA MAPINDUZI YALIYONGOZWA NA JOHN OKELLO WA UGANDA...OKELLO AKAUA KULE MPAKA AKACHOKA NA AKAWA NANGUVU ZAIDI YA KARUME..NDIPO NYERERE AKAMUITA DAR ES SALAAM NA KUMUULIZA JEE NIMEKUTUMA KUPINGUA SERIKALI HALALI YA ZENJI ILI UWE WEWE NDIE RAIS? OKELLO AKACHEMSHA NA NYERERE AKAMWAMBIA HAKUNA KURUDI TENA ZANZIBAR RUDI KWENU UGANDA UTALETEWA PENSION YAKO YA KAZI YAKO YA KUUA WAZANZIBARI HUKO HUKO....

HAYA NYERERE ALIYAFANYA PIA KWA BINAISA NA YUSUF LULE ILI KUMWEKA OBOTE..NI HISTORIA TU IMEJIREJEA...

SASA KARUME AKARUDI ZANZIBAR KAMA KIBARAKA WA NYERERE NA NDANI YA SIKU 100 ZA HAYO MAPINDUZI HARAMU NYERERE ALIFIKA ZANZIBAR KUMWAMBIA KARUME ASAINI MAKUBALIANO KWAMBA AMEUNGANISHA ZANZIBAR NA TANGANYIKA ..NAE KARUME BILA KUSITA AKAKUBALI KWANI NDIO CONSPIRANCY YENYEWE ILIVOPANGWA......AKASAINI BILA YA KUSHIRIKISHA HATA MTU MMOJA KATIKA VIONGOZI WENZAKE....WAZANZIBAR HAWAKUSHAURIWA...

SASA SUALI JEE HIVI MTU AITE WATU HALAFU ATANGAZE MIMI NITAMUANGAMIZA FULANI...BAADA YA SIKU MBILI UNAENDA KWA HUYO HUYO UNAETAKA KUMWANGAMIZA ATI UMEKUJA KUPOSA MTOTO WAKE JEE UTAMPA ?????????????????????Hkik HpN humpi...

KARUME ALIMPA ....
PILI WALE WANAOSEMA KUWA TANGANYIKA ITAPONA BASI WAJUE NDIO ITAKUA VITA TUPU KWANI SASA ITAONEKAANA WAZI KUWA HII NCHI NI YA WAKATOLIKI...KUMBE WALE WAISLAMU WALOKO KWENYE SERIKALI WALITOKA ZANZIBAR......HAPO NDIO HILO KASHESHE...
 
Back
Top Bottom