Halaf kuna watu humu ndani eti wanajifanya kuililia demokrasia
Wakiambiwa kama demokrasia hapa duniani hakuna wanabisha nakujifanya wanajua sana
Kiufupi hayo mataifa matano ni hayagusiki maana maamuzi ya mataifa yooote duniani yakiungana yanaweza kukwamishwa na mjinga mmoja tu kati ya hao watano
Katika taasisi ambayo sijawahi kuielewa na kuikubali tukea nijitambue na kuitambua basi hili igizo la UN namba moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.