Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,345
- 5,718
[emoji23][emoji23][emoji1787]Hakuna kitu hutia hasira na huzuni kuona majitu ya Afrika kama vile DRC na Tanzania yanatajwa kwenye mataifa maskini wa kutupwa, ukizingatia ni mataifa makubwa yaliyosheheni madini ya kumwaga, sijui tatizo huwa IQ, au uzembe au ushirikina mwingi au nini jameni, laana hii aki.
[emoji23][emoji23] Tanzania is like twice the size of Kenya and is 75% arable and full of mineral resources.Hakuna kitu hutia hasira na huzuni kuona majitu ya Afrika kama vile DRC na Tanzania yanatajwa kwenye mataifa maskini wa kutupwa, ukizingatia ni mataifa makubwa yaliyosheheni madini ya kumwaga, sijui tatizo huwa IQ, au uzembe au ushirikina mwingi au nini jameni, laana hii aki.
Wakenya nilishawapuuza kitambo Sana kwa kweli. Sijawahi kukomenti chochote kwenye hii Forum japo Nilikuwa nikifuatilia Midahalo ya humu kwa mda Mrefu. Leo acha niongee TU.UN list of least developed countries
- Afghanistan
- Angola
- Bangladesh
- Benin
- Bhutan
- Burkina Faso
- Burundi
- Cambodia
- Central African Republic
- Chad
- Comoros
- Democratic Republic of the Congo
- Djibouti
- Eritrea
- Ethiopia
- Gambia
- Guinea
- Guinea-Bissau
- Haiti
- Kiribati
- Lao People’s Democratic Republic
- Lesotho
- Liberia
- Madagascar
- Malawi
- Mali
- Mauritania
- Mozambique
- Myanmar
- Nepal
- Niger
- Rwanda
- Sao Tome and Principe
- Senegal
- Sierra Leone
- Solomon Islands
- Somalia
- South Sudan
- Sudan
- Timor-Leste
- Togo
- Tuvalu
- Uganda
- United Republic of Tanzania
- Yemen
- Zambia
Source: UNCTAD
Hakuna nchi ovyo hii Dunia kama DRC. Yani Wakenya tukapewa hiyo nchi hatutawai shikika tena. Nchi ina shamba kubwa na hamna mahali kame lakini inaimport chakula. Nchi kila mtu anatafuta njia ya kuiba minerals na kuuza kimagendo kwa wazungu tu. Yani mtu ana shamba maelfu ya maekari lakini dream yake ni kuchimba vidiamond kimagendo akauze. Nchi ina 70% ya cobalt iliyopo duniani yet hamna barabara nje ya miji. Nchi bure kabisa.[emoji23][emoji23] Tanzania is like twice the size of Kenya and is 75% arable and full of mineral resources.
DRC Congo is like 5 times Kenya's size with trillions in mineral wealth with no arid areas yet Kenya beats them in every singe aspect of measuring quality life.
Hakuna nchi ovyo hii Dunia kama DRC. Yani Wakenya tukapewa hiyo nchi hatutawai shikika tena. Nchi ina shamba kubwa na hamna mahali kame lakini inaimport chakula. Nchi kila mtu anatafuta njia ya kuiba minerals na kuuza kimagendo kwa wazungu tu. Yani mtu ana shamba maelfu ya maekari lakini dream yake ni kuchimba vidiamond kimagendo akauze. Nchi ina 70% ya cobalt iliyopo duniani yet hamna barabara nje ya miji. Nchi bure kabisa.
Drought and how a country is developed these are two unrelated things, kama umeshafika Kenya ukafananisha na Tanzania, Kenya is developed by far compare to Tanzania? By the way UN is in all over the world not New York only.Wakenya nilishawapuuza kitambo Sana kwa kweli. Sijawahi kukomenti chochote kwenye hii Forum japo Nilikuwa nikifuatilia Midahalo ya humu kwa mda Mrefu. Leo acha niongee TU.
Unaposema Kenya ni Developed unatumia ripoti ya Umoja wa Mataifa ambao wako wamekaa kwenye Magorofa huko NEW YORK hawajawahi hata kufika Kenya au unatumia uhalisia ambao ukiangaza macho yako sehemu unayoishi unaona watu wengi maisha Safi kabisa? Je,Kila raia wa Kenya anauhakika wa kupata maji bila kutembea Mita 100? Kila raia wa Kenya anauwezo wa kuafford kupikia Gas au Umeme? Kila Raia wa Kenya anauwezo wa kupata Milo mitatu? Kila Raia wa Kenya ana Bima ya kumwezesha kutibiwa Ugonjwa wowote ule ndani na nje ya Kenya pindi auguapo? Kila Raia wa Kenya ana nyumba yenye viwango vya Kati? Kila Raia wa Kenya anaishi kwenye Nyumba ya kudumu yenye Umeme(Stima)?.
HII NI RIPOTI YA WFP KUHUSU NJAA AMBAYO INAIKABILI KENYA MWAKA HUU 2022.
Ukame mbaya unaotokana na msimu wa mvua kwenda tofauti na matarajio kwa miaka mitatu mfululizo umepelekea mazao kuharibiwa, mifugo kufa na watu wapatao Milioni 13 katika Mataifa ya Kenya, Ethiopia na Somalia kukumbwa na njaa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula (WFP) linasema kukosekana mavuno na uhaba wa chakula kunalazimu Familia kuacha makazi yao, na msaada wa haraka unahitajika ili kuepusha janga la kibinadamu
Wataalamu wanasema matukio ya hali mbaya ya hewa yanaongezeka kwa kasi kutokana na mabadiliko ya TabiaNchi, huku Afrika ambayo inachangia hilo kwa uchache zaidi ikibeba mzigo mkubwa
=======
An estimated 13 million people in Kenya, Somalia and Ethiopia are facing severe hunger as the Horn of Africa experiences its worst drought in decades, the World Food Programme (WFP) said Tuesday.
Three consecutive rainy seasons have failed as the region has recorded its driest conditions since 1981, the UN agency said.
The drought has destroyed crops and inflicted "abnormally" high livestock deaths, forcing rural families who rely on herding and farming to abandon their homes.
Water and grazing land is in short supply and forecasts of below-average rainfall in coming months only threaten more misery, said Michael Dunford, WFP's regional director in East Africa.
"Harvests are ruined, livestock are dying, and hunger is growing as recurrent droughts affect the Horn of Africa," he said in a statement.
"The situation requires immediate humanitarian action" to avoid a repeat of a crisis like that of Somalia in 2011, when 250,000 died of hunger during a prolonged drought.
Food aid is being distributed across an arid swathe of Kenya, Ethiopia and Somalia where malnutrition rates are high and some 13 million people are at risk of severe hunger in the first quarter of this year.
Some 5.7 million needed food assistance in southern and south-eastern Ethiopia, including half a million malnourished children and mothers.
In Somalia, the number of people classified as seriously hungry is expected to rise from 3.5 million to 4.6 million by May unless urgent interventions are taken.
Another 2.8 million people need assistance in south-eastern and northern Kenya, where a drought emergency was declared in September.
WFP said $327 million was required to respond to immediate needs over the next six months and support pastoral communities to become more resilient against recurring climate shocks.
In 2011, failed rains led to the driest year since 1951 in arid regions of Kenya, Somalia, Ethiopia, Djibouti and Uganda.
Experts say extreme weather events are happening with increased frequency and intensity due to climate change -- with Africa, which contributes the least to global warming, bearing the brunt.
Je,Nchi ambayo Raia wake karibu Milioni 3 wanakabiliwa na uhaba wa Chakula Kila mwaka na inahitaji msaada wa Dharula wa umoja wa Mataifa wa Chakula kuokoa uhai wa Raia wake tunaipa sifa ya DEVELOPED COUNTRY(Nchi iliyoendelea)?
MAONI YANGU.
Kama nilivyosema,jukwaa hili limejaa majigambo ya Tanzania dhidi ya Kenya,Wakenya wakidai Kenya ni Bora kuliko Tanzania na huku Watanzania wakidai Tanzania ni Bora kuliko Kenya.
Mijadala Kama hii haiondoi ukweli kwamba Nchi zetu zote bado ni maskini Sana. Nchi ambazo Raia wao wa vijijini bado wanajisaidia polini,Madarasa hovyo,Kilimo Cha mkono,Wanapikia Kuni na Mkaa,Wanachangia maji ya madimbwi na Mifugo kunywa.?
KIBWAGIZO.
Kinachofanyika humu ni sawa na Mtu ambaye anajiona kabisa amevaa nguo ambazo zimechanika na Yuko Peku harafu anatokea Mzungu anamwambia kwamba Wewe ni tajiri na umevaa nguo za Bei kubwa Sana,halafu huyo mtu aende kumtambia maskini mwenzake eti yeye ni tajiri kwasababu kaambiwa na Mzungu.
WAKE UP GUYS.
Wacongo ni immigrants pia ndani ya kila inchi duniani. Juzi niliona mtandaoni immigrant mcongo akiuliwa Brazil kwa njia ya unyama sana.Hakuna nchi ovyo hii Dunia kama DRC. Yani Wakenya tukapewa hiyo nchi hatutawai shikika tena. Nchi ina shamba kubwa na hamna mahali kame lakini inaimport chakula. Nchi kila mtu anatafuta njia ya kuiba minerals na kuuza kimagendo kwa wazungu tu. Yani mtu ana shamba maelfu ya maekari lakini dream yake ni kuchimba vidiamond kimagendo akauze. Nchi ina 70% ya cobalt iliyopo duniani yet hamna barabara nje ya miji. Nchi bure kabisa.
WFP ni branch ya UN ambao wamekaa kwenye magorofa Rome, so what exactly is your point?Wakenya nilishawapuuza kitambo Sana kwa kweli. Sijawahi kukomenti chochote kwenye hii Forum japo Nilikuwa nikifuatilia Midahalo ya humu kwa mda Mrefu. Leo acha niongee TU.
Unaposema Kenya ni Developed unatumia ripoti ya Umoja wa Mataifa ambao wako wamekaa kwenye Magorofa huko NEW YORK hawajawahi hata kufika Kenya au unatumia uhalisia ambao ukiangaza macho yako sehemu unayoishi unaona watu wengi maisha Safi kabisa? Je,Kila raia wa Kenya anauhakika wa kupata maji bila kutembea Mita 100? Kila raia wa Kenya anauwezo wa kuafford kupikia Gas au Umeme? Kila Raia wa Kenya anauwezo wa kupata Milo mitatu? Kila Raia wa Kenya ana Bima ya kumwezesha kutibiwa Ugonjwa wowote ule ndani na nje ya Kenya pindi auguapo? Kila Raia wa Kenya ana nyumba yenye viwango vya Kati? Kila Raia wa Kenya anaishi kwenye Nyumba ya kudumu yenye Umeme(Stima)?.
HII NI RIPOTI YA WFP KUHUSU NJAA AMBAYO INAIKABILI KENYA MWAKA HUU 2022.
Ukame mbaya unaotokana na msimu wa mvua kwenda tofauti na matarajio kwa miaka mitatu mfululizo umepelekea mazao kuharibiwa, mifugo kufa na watu wapatao Milioni 13 katika Mataifa ya Kenya, Ethiopia na Somalia kukumbwa na njaa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula (WFP) linasema kukosekana mavuno na uhaba wa chakula kunalazimu Familia kuacha makazi yao, na msaada wa haraka unahitajika ili kuepusha janga la kibinadamu
Wataalamu wanasema matukio ya hali mbaya ya hewa yanaongezeka kwa kasi kutokana na mabadiliko ya TabiaNchi, huku Afrika ambayo inachangia hilo kwa uchache zaidi ikibeba mzigo mkubwa
=======
An estimated 13 million people in Kenya, Somalia and Ethiopia are facing severe hunger as the Horn of Africa experiences its worst drought in decades, the World Food Programme (WFP) said Tuesday.
Three consecutive rainy seasons have failed as the region has recorded its driest conditions since 1981, the UN agency said.
The drought has destroyed crops and inflicted "abnormally" high livestock deaths, forcing rural families who rely on herding and farming to abandon their homes.
Water and grazing land is in short supply and forecasts of below-average rainfall in coming months only threaten more misery, said Michael Dunford, WFP's regional director in East Africa.
"Harvests are ruined, livestock are dying, and hunger is growing as recurrent droughts affect the Horn of Africa," he said in a statement.
"The situation requires immediate humanitarian action" to avoid a repeat of a crisis like that of Somalia in 2011, when 250,000 died of hunger during a prolonged drought.
Food aid is being distributed across an arid swathe of Kenya, Ethiopia and Somalia where malnutrition rates are high and some 13 million people are at risk of severe hunger in the first quarter of this year.
Some 5.7 million needed food assistance in southern and south-eastern Ethiopia, including half a million malnourished children and mothers.
In Somalia, the number of people classified as seriously hungry is expected to rise from 3.5 million to 4.6 million by May unless urgent interventions are taken.
Another 2.8 million people need assistance in south-eastern and northern Kenya, where a drought emergency was declared in September.
WFP said $327 million was required to respond to immediate needs over the next six months and support pastoral communities to become more resilient against recurring climate shocks.
In 2011, failed rains led to the driest year since 1951 in arid regions of Kenya, Somalia, Ethiopia, Djibouti and Uganda.
Experts say extreme weather events are happening with increased frequency and intensity due to climate change -- with Africa, which contributes the least to global warming, bearing the brunt.
Je,Nchi ambayo Raia wake karibu Milioni 3 wanakabiliwa na uhaba wa Chakula Kila mwaka na inahitaji msaada wa Dharula wa umoja wa Mataifa wa Chakula kuokoa uhai wa Raia wake tunaipa sifa ya DEVELOPED COUNTRY(Nchi iliyoendelea)?
MAONI YANGU.
Kama nilivyosema,jukwaa hili limejaa majigambo ya Tanzania dhidi ya Kenya,Wakenya wakidai Kenya ni Bora kuliko Tanzania na huku Watanzania wakidai Tanzania ni Bora kuliko Kenya.
Mijadala Kama hii haiondoi ukweli kwamba Nchi zetu zote bado ni maskini Sana. Nchi ambazo Raia wao wa vijijini bado wanajisaidia polini,Madarasa hovyo,Kilimo Cha mkono,Wanapikia Kuni na Mkaa,Wanachangia maji ya madimbwi na Mifugo kunywa.?
KIBWAGIZO.
Kinachofanyika humu ni sawa na Mtu ambaye anajiona kabisa amevaa nguo ambazo zimechanika na Yuko Peku harafu anatokea Mzungu anamwambia kwamba Wewe ni tajiri na umevaa nguo za Bei kubwa Sana,halafu huyo mtu aende kumtambia maskini mwenzake eti yeye ni tajiri kwasababu kaambiwa na Mzungu.
WAKE UP GUYS.
When was it published? Negative campaigns against usUN list of least developed countries
- Afghanistan
- Angola
- Bangladesh
- Benin
- Bhutan
- Burkina Faso
- Burundi
- Cambodia
- Central African Republic
- Chad
- Comoros
- Democratic Republic of the Congo
- Djibouti
- Eritrea
- Ethiopia
- Gambia
- Guinea
- Guinea-Bissau
- Haiti
- Kiribati
- Lao People’s Democratic Republic
- Lesotho
- Liberia
- Madagascar
- Malawi
- Mali
- Mauritania
- Mozambique
- Myanmar
- Nepal
- Niger
- Rwanda
- Sao Tome and Principe
- Senegal
- Sierra Leone
- Solomon Islands
- Somalia
- South Sudan
- Sudan
- Timor-Leste
- Togo
- Tuvalu
- Uganda
- United Republic of Tanzania
- Yemen
- Zambia
Source: UNCTAD
Thank You Sir, miafrika miwili masikini kazi hapa ni kupimana misuli badala ya kuleta suluhisho ya umasikini Afrika. Kila siku sijui upuzi GDP, Barabara na upuzi mwingine ambayo ni utajiri wa makampuni na watu kadhaa Wala sio wananchi Masikini walio wengi.Wakenya nilishawapuuza kitambo Sana kwa kweli. Sijawahi kukomenti chochote kwenye hii Forum japo Nilikuwa nikifuatilia Midahalo ya humu kwa mda Mrefu. Leo acha niongee TU.
Unaposema Kenya ni Developed unatumia ripoti ya Umoja wa Mataifa ambao wako wamekaa kwenye Magorofa huko NEW YORK hawajawahi hata kufika Kenya au unatumia uhalisia ambao ukiangaza macho yako sehemu unayoishi unaona watu wengi maisha Safi kabisa? Je,Kila raia wa Kenya anauhakika wa kupata maji bila kutembea Mita 100? Kila raia wa Kenya anauwezo wa kuafford kupikia Gas au Umeme? Kila Raia wa Kenya anauwezo wa kupata Milo mitatu? Kila Raia wa Kenya ana Bima ya kumwezesha kutibiwa Ugonjwa wowote ule ndani na nje ya Kenya pindi auguapo? Kila Raia wa Kenya ana nyumba yenye viwango vya Kati? Kila Raia wa Kenya anaishi kwenye Nyumba ya kudumu yenye Umeme(Stima)?.
HII NI RIPOTI YA WFP KUHUSU NJAA AMBAYO INAIKABILI KENYA MWAKA HUU 2022.
Ukame mbaya unaotokana na msimu wa mvua kwenda tofauti na matarajio kwa miaka mitatu mfululizo umepelekea mazao kuharibiwa, mifugo kufa na watu wapatao Milioni 13 katika Mataifa ya Kenya, Ethiopia na Somalia kukumbwa na njaa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula (WFP) linasema kukosekana mavuno na uhaba wa chakula kunalazimu Familia kuacha makazi yao, na msaada wa haraka unahitajika ili kuepusha janga la kibinadamu
Wataalamu wanasema matukio ya hali mbaya ya hewa yanaongezeka kwa kasi kutokana na mabadiliko ya TabiaNchi, huku Afrika ambayo inachangia hilo kwa uchache zaidi ikibeba mzigo mkubwa
=======
An estimated 13 million people in Kenya, Somalia and Ethiopia are facing severe hunger as the Horn of Africa experiences its worst drought in decades, the World Food Programme (WFP) said Tuesday.
Three consecutive rainy seasons have failed as the region has recorded its driest conditions since 1981, the UN agency said.
The drought has destroyed crops and inflicted "abnormally" high livestock deaths, forcing rural families who rely on herding and farming to abandon their homes.
Water and grazing land is in short supply and forecasts of below-average rainfall in coming months only threaten more misery, said Michael Dunford, WFP's regional director in East Africa.
"Harvests are ruined, livestock are dying, and hunger is growing as recurrent droughts affect the Horn of Africa," he said in a statement.
"The situation requires immediate humanitarian action" to avoid a repeat of a crisis like that of Somalia in 2011, when 250,000 died of hunger during a prolonged drought.
Food aid is being distributed across an arid swathe of Kenya, Ethiopia and Somalia where malnutrition rates are high and some 13 million people are at risk of severe hunger in the first quarter of this year.
Some 5.7 million needed food assistance in southern and south-eastern Ethiopia, including half a million malnourished children and mothers.
In Somalia, the number of people classified as seriously hungry is expected to rise from 3.5 million to 4.6 million by May unless urgent interventions are taken.
Another 2.8 million people need assistance in south-eastern and northern Kenya, where a drought emergency was declared in September.
WFP said $327 million was required to respond to immediate needs over the next six months and support pastoral communities to become more resilient against recurring climate shocks.
In 2011, failed rains led to the driest year since 1951 in arid regions of Kenya, Somalia, Ethiopia, Djibouti and Uganda.
Experts say extreme weather events are happening with increased frequency and intensity due to climate change -- with Africa, which contributes the least to global warming, bearing the brunt.
Je,Nchi ambayo Raia wake karibu Milioni 3 wanakabiliwa na uhaba wa Chakula Kila mwaka na inahitaji msaada wa Dharula wa umoja wa Mataifa wa Chakula kuokoa uhai wa Raia wake tunaipa sifa ya DEVELOPED COUNTRY(Nchi iliyoendelea)?
MAONI YANGU.
Kama nilivyosema,jukwaa hili limejaa majigambo ya Tanzania dhidi ya Kenya,Wakenya wakidai Kenya ni Bora kuliko Tanzania na huku Watanzania wakidai Tanzania ni Bora kuliko Kenya.
Mijadala Kama hii haiondoi ukweli kwamba Nchi zetu zote bado ni maskini Sana. Nchi ambazo Raia wao wa vijijini bado wanajisaidia polini,Madarasa hovyo,Kilimo Cha mkono,Wanapikia Kuni na Mkaa,Wanachangia maji ya madimbwi na Mifugo kunywa.?
KIBWAGIZO.
Kinachofanyika humu ni sawa na Mtu ambaye anajiona kabisa amevaa nguo ambazo zimechanika na Yuko Peku harafu anatokea Mzungu anamwambia kwamba Wewe ni tajiri na umevaa nguo za Bei kubwa Sana,halafu huyo mtu aende kumtambia maskini mwenzake eti yeye ni tajiri kwasababu kaambiwa na Mzungu.
WAKE UP GUYS.
Thank You Sir, miafrika miwili masikini kazi hapa ni kupimana misuli badala ya kuleta suluhisho ya umasikini Afrika. Kila siku sijui upuzi GDP, Barabara na upuzi mwingine ambayo ni utajiri wa makampuni na watu kadhaa Wala sio wananchi Masikini walio wengi.
Kenya tunaliwa na MaBeberu weupe na Weusi, bei ya vyakula imepanda, bei ya mafuta, umeme, wizi umeongezeka, njaa na umasikini kuongezeka pia.
Wazungu wakijinyakulia na kugawana Afrika walishikana kwanza bila kubaguana na kuitana majina. Mbona sisi tupigane badala ya kutafuta suluhisho la kusaidia raiyaa wetu?
Nimekuwa kwenye jukwaa hili tangu 2014 Kila siku mashindano, matusi, chuki, wivu na upuzi nikiwa Mojawapo wa kuchochea. MK254 wewe ni Kiongozi onyesha watu wako njia bila kuchagua artificial borders.
Nakuelewa upande wa Uhuru wa kujieleza.Sijakuelewa, maana huu ni mtandao wa kijamii ambao kila mtu yuko huru kuwasilisha mawazo yake bila kupangiana cha kusema, hakuna cha kiongozi wala nini, na sio lazima kila mtu aandike utakavyo wewe, kunao wakiandika hunikwaza kishenzi ila navumilia maana ndio uhuru wao ilmradi hawanitukani au kuingilia uhuru wangu.
Kuna mada nikiangalia kichwa tu na jina la aliyewasilisha, huwa sifungui napita maana uwezo huo ninao, ndio uhuru wangu.
Hii JF huwa tunaingia kila mtu akiwa na malengo yake, binafsi huwa nachangia kwingine pia, utanikuta JF technologies, international, na hata kwenye jokes and photos, maana pia uhuru huo ninao.
Na pia kuna watu nimewatia kwenye block/ignore list, inasaidia maana sina uwezo wa kumpangia cha kusema ila nguvu ninazo za kumkwepa.
Unajua kwanini serikali ya urusi iliwai kusema africa haiwezi kuendelea mpaka raslimali zake zitakapo ishaHakuna kitu hutia hasira na huzuni kuona majitu ya Afrika kama vile DRC na Tanzania yanatajwa kwenye mataifa maskini wa kutupwa, ukizingatia ni mataifa makubwa yaliyosheheni madini ya kumwaga, sijui tatizo huwa IQ, au uzembe au ushirikina mwingi au nini jameni, laana hii aki.
Yani unaweka thread alafu unanijibu mwenyewe hahaha sasa hapo nani anateseka!? Sisi twafanya yetu, nyie pambaneni muendelee na maendeleo yenu na ukabila,njaa,chuki na sisi tuache tufanye yetu. Yani bila kuitajataja Tanzania kipele hakiachi kuwasha si ndio?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna kitu hutia hasira na huzuni kuona majitu ya Afrika kama vile DRC na Tanzania yanatajwa kwenye mataifa maskini wa kutupwa, ukizingatia ni mataifa makubwa yaliyosheheni madini ya kumwaga, sijui tatizo huwa IQ, au uzembe au ushirikina mwingi au nini jameni, laana hii aki.