UN list of least developed countries
- Afghanistan
- Angola
- Bangladesh
- Benin
- Bhutan
- Burkina Faso
- Burundi
- Cambodia
- Central African Republic
- Chad
- Comoros
- Democratic Republic of the Congo
- Djibouti
- Eritrea
- Ethiopia
- Gambia
- Guinea
- Guinea-Bissau
- Haiti
- Kiribati
- Lao People’s Democratic Republic
- Lesotho
- Liberia
- Madagascar
- Malawi
- Mali
- Mauritania
- Mozambique
- Myanmar
- Nepal
- Niger
- Rwanda
- Sao Tome and Principe
- Senegal
- Sierra Leone
- Solomon Islands
- Somalia
- South Sudan
- Sudan
- Timor-Leste
- Togo
- Tuvalu
- Uganda
- United Republic of Tanzania
- Yemen
- Zambia
Source: UNCTAD
Wakenya nilishawapuuza kitambo Sana kwa kweli. Sijawahi kukomenti chochote kwenye hii Forum japo Nilikuwa nikifuatilia Midahalo ya humu kwa mda Mrefu. Leo acha niongee TU.
Unaposema Kenya ni Developed unatumia ripoti ya Umoja wa Mataifa ambao wako wamekaa kwenye Magorofa huko NEW YORK hawajawahi hata kufika Kenya au unatumia uhalisia ambao ukiangaza macho yako sehemu unayoishi unaona watu wengi maisha Safi kabisa? Je,Kila raia wa Kenya anauhakika wa kupata maji bila kutembea Mita 100? Kila raia wa Kenya anauwezo wa kuafford kupikia Gas au Umeme? Kila Raia wa Kenya anauwezo wa kupata Milo mitatu? Kila Raia wa Kenya ana Bima ya kumwezesha kutibiwa Ugonjwa wowote ule ndani na nje ya Kenya pindi auguapo? Kila Raia wa Kenya ana nyumba yenye viwango vya Kati? Kila Raia wa Kenya anaishi kwenye Nyumba ya kudumu yenye Umeme(Stima)?.
HII NI RIPOTI YA WFP KUHUSU NJAA AMBAYO INAIKABILI KENYA MWAKA HUU 2022.
Ukame mbaya unaotokana na msimu wa mvua kwenda tofauti na matarajio kwa miaka mitatu mfululizo umepelekea mazao kuharibiwa, mifugo kufa na watu wapatao Milioni 13 katika Mataifa ya Kenya, Ethiopia na Somalia kukumbwa na njaa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula (WFP) linasema kukosekana mavuno na uhaba wa chakula kunalazimu Familia kuacha makazi yao, na msaada wa haraka unahitajika ili kuepusha janga la kibinadamu
Wataalamu wanasema matukio ya hali mbaya ya hewa yanaongezeka kwa kasi kutokana na mabadiliko ya TabiaNchi, huku Afrika ambayo inachangia hilo kwa uchache zaidi ikibeba mzigo mkubwa
=======
An estimated 13 million people in Kenya, Somalia and Ethiopia are facing severe hunger as the Horn of Africa experiences its worst drought in decades, the World Food Programme (WFP) said Tuesday.
Three consecutive rainy seasons have failed as the region has recorded its driest conditions since 1981, the UN agency said.
The drought has destroyed crops and inflicted "abnormally" high livestock deaths, forcing rural families who rely on herding and farming to abandon their homes.
Water and grazing land is in short supply and forecasts of below-average rainfall in coming months only threaten more misery, said Michael Dunford, WFP's regional director in East Africa.
"Harvests are ruined, livestock are dying, and hunger is growing as recurrent droughts affect the Horn of Africa," he said in a statement.
"The situation requires immediate humanitarian action" to avoid a repeat of a crisis like that of Somalia in 2011, when 250,000 died of hunger during a prolonged drought.
Food aid is being distributed across an arid swathe of Kenya, Ethiopia and Somalia where malnutrition rates are high and some 13 million people are at risk of severe hunger in the first quarter of this year.
Some 5.7 million needed food assistance in southern and south-eastern Ethiopia, including half a million malnourished children and mothers.
In Somalia, the number of people classified as seriously hungry is expected to rise from 3.5 million to 4.6 million by May unless urgent interventions are taken.
Another 2.8 million people need assistance in south-eastern and northern Kenya, where a drought emergency was declared in September.
WFP said $327 million was required to respond to immediate needs over the next six months and support pastoral communities to become more resilient against recurring climate shocks.
In 2011, failed rains led to the driest year since 1951 in arid regions of Kenya, Somalia, Ethiopia, Djibouti and Uganda.
Experts say extreme weather events are happening with increased frequency and intensity due to climate change -- with Africa, which contributes the least to global warming, bearing the brunt.
Je,Nchi ambayo Raia wake karibu Milioni 3 wanakabiliwa na uhaba wa Chakula Kila mwaka na inahitaji msaada wa Dharula wa umoja wa Mataifa wa Chakula kuokoa uhai wa Raia wake tunaipa sifa ya DEVELOPED COUNTRY(Nchi iliyoendelea)?
MAONI YANGU.
Kama nilivyosema,jukwaa hili limejaa majigambo ya Tanzania dhidi ya Kenya,Wakenya wakidai Kenya ni Bora kuliko Tanzania na huku Watanzania wakidai Tanzania ni Bora kuliko Kenya.
Mijadala Kama hii haiondoi ukweli kwamba Nchi zetu zote bado ni maskini Sana. Nchi ambazo Raia wao wa vijijini bado wanajisaidia polini,Madarasa hovyo,Kilimo Cha mkono,Wanapikia Kuni na Mkaa,Wanachangia maji ya madimbwi na Mifugo kunywa.?
KIBWAGIZO.
Kinachofanyika humu ni sawa na Mtu ambaye anajiona kabisa amevaa nguo ambazo zimechanika na Yuko Peku harafu anatokea Mzungu anamwambia kwamba Wewe ni tajiri na umevaa nguo za Bei kubwa Sana,halafu huyo mtu aende kumtambia maskini mwenzake eti yeye ni tajiri kwasababu kaambiwa na Mzungu.
WAKE UP GUYS.