UN: Kinachotendeka Gaza ni mithili ya kiama, yaani apocalyptic

Yaani chezea masharubu ya Warusi, Wachina na mataka taka mengine wakiwemo hata Wamarekani ila temana sana na Wayahudi
Hicho kiburi chao kinaletwa na msaada wa mabilioni ya dola na silaha za kisasa kutoka Marekani.

Dunia imewatelekeza watu wa Gaza, Ulimwengu umetekwa nyara na ubeberu wa Marekani na Israel.
 
Raha palestina wanaouliwa ukiwa muislam unaingia peponi maisha mazuri akhera. Mayahudi na wakiristo wao motoni maisha ya dhiki daima ktk maisha yao
 
Raha palestina wanaouliwa ukiwa muislam unaingia peponi maisha mazuri akhera. Mayahudi na wakiristo wao motoni maisha ya dhiki daima ktk maisha yao
Plus bikra 72,mito ya pombe isilewesha plus m.b.o isiyolala
 
Madam fafanua hii. Unamaanisha Yakobo alivyopambana na malaiika?
Kutoka 33: 5 Bwana akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli, Ninyi ni watu wenye shingo ngumu; kama mimi nikiingia kati yenu dakika moja, nitawaangamiza; basi sasa vueni vyombo vyenu vya uzuri ili nipate kujua nitakalowatenda.
 
Sasa kwa nini wasichukue hatua?
Wamewaachia Wayahudi wachukue hatua. Hakuna hatua zaidi ya hapo - walijitakia wenyewe. Ngoja wafundishwe somo la ujinga + kiburi = Kiama binafsi hususan inapokuwa ulisha onywa matokeo yake.
 
Huyo jamaa hajui kinachoendelea. Anadhani mbinu za kivita ni sawa na kupigana mweleka au masumbwi a.k.a Ndondi.
Hajasoma "mission" ya IDF hapo ni nini.
 
Yaani wenzio huko eneo la tukio hali ni tete hadi UN wanalalama Israel iache kuwaangamiza wewe unasema Israel wanachapika!

Akili za Alwaz

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yako unaamini Propaganda za wazungu na mazayuni.Huku ground hali ni tete sana Israel watamalizwa.Hadi sasa Israel hawajafanikiwa kuua Hamas hata mmoja,wanaua wanawake na watoto tuu.Chezea kitu ingine lakini si wanamuqawama wa hamas.Ogopaaaaaaa ni hatarrriiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…