UN: Kinachotendeka Gaza ni mithili ya kiama, yaani apocalyptic

Hicho kiburi chao kinaletwa na msaada wa mabilioni ya dola na silaha za kisasa kutoka Marekani.

Dunia imewatelekeza watu wa Gaza, Ulimwengu umetekwa nyara na ubeberu wa Marekani na Israel.

Sasa ukijua mtu ana msaada kama huo, acha kumchokonoa, achana na watoto wake, acha kuua raia zake, achana naye maana huo msaada atautumia na utalia wewe baadaye.
 
Shura ya maimamu toka Mburahati inatakiwa iandae maandamano
 
hahaaaaa kwamba anaua watoto na wamama kuonesha kuwa huponi ? Hahahaaaa wavaa kobaz wanakuja asee
 
Naona Israel haina uwezo mkubwa kama tunavyodhani. Wangekuwa wanauwezo wangeshakomboa mateka. Badala yake wanabadilishana mateka na wafungwa
Kama mateka wapo qatar unawaokoaje? Unahis hamas ni wapuuz wateke halafu wawaweke humo humo gaza
 
Unafurahi nchi kuwa katili , kukwakatili ni upande wa watu wavivu wasiopenda hata kufikiria

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Waafrika tunawachekea sana mbuz nyie mmeua msumbiji , drc , sudan , afrika ya kati , afrika magharibi , mmesababisha mayatima , mmeteka watoto na kuwatoa kwenye ndoto zao mmechinja mbele za wanafamilia zao , mmefanya unyama mwingi sana barani afrika , sijawai ona mbuz ya kiislam hata moja ikikemea , upo wkt hata huku afrika tutaanza washughulikia tu , Afrika ya kati wameanza tyr wapongezwe , MMETULETEA VITA KWA TAMAA YA KUENEZA TAMADUNI za mabwana zenu
 
Hicho kiburi chao kinaletwa na msaada wa mabilioni ya dola na silaha za kisasa kutoka Marekani.

Dunia imewatelekeza watu wa Gaza, Ulimwengu umetekwa nyara na ubeberu wa Marekani na Israel.
Nyiny mbuz kila sehem mnaanzisha fujo hlf mnataka dunia ipi iwajali? Hadi nchi za kiislam tu haziaminiani kbs , mna ushetan mwingi sana
 
Raha palestina wanaouliwa ukiwa muislam unaingia peponi maisha mazuri akhera. Mayahudi na wakiristo wao motoni maisha ya dhiki daima ktk maisha yao
ila dogo dini iliisha haribu uwezo wako wa kufikiri sasa kama wanaenda kula raha why mnalia Lia humu Israel anavyo watanguliza kinamama na watoto ahera kula raha?
 
Israeli walimshinda Mungu mwenyewe na akataka kuwaua wote sembuse hao Hamas

Hizo ni porojo na hadithi za Alfulela ulela! Huyo ni Mungu wa kabila gani au wa kijiji gani anayeshindwa na kiumbe chake akichokiumba! Ndiyo maana kuna porojo zingine kwenye vitabu vya dini inabidi kufutwa kabisa! Kwanza hao siyo Israeli, ni masalia yaliyozaliana nchi mbalimbali duniani kwa karne nyingi sana zilizopita. Ile identity ya Israel ilishapotea so many years ago, wamebaki vibaka tu!
 
Kutoka 33: 5 Bwana akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli, Ninyi ni watu wenye shingo ngumu; kama mimi nikiingia kati yenu dakika moja, nitawaangamiza; basi sasa vueni vyombo vyenu vya uzuri ili nipate kujua nitakalowatenda.

Nonsense! Upumbavu mtupu!
 
Hawajaua hamas hata mmoja?! Na bado unaizungumzia propaganda!

Sasa wewe sijui umemeza propaganda ya wapi, maana hata ya hamas na waarabu haijafikia huko uliko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizo paragraph mbili za juu ulizoandika kwa lugha ya madafu umeandika kimipasho...wanapigana na wanamgambo tu jasho linawatoka na vita haviishi,mateka hawaokolewi halafu unatuambia waogopwe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…