UN peacekeepers 'fathered and abandoned thousands of children' in DRC

UN peacekeepers 'fathered and abandoned thousands of children' in DRC

Mhanga anamtoa wapi mwanasheria huku kula yake tu ya tabu
Kwa kawaida kesi kama hizi wanasheria hujitolea kutafuta haki ya wahanga, ikipatikana ndio hulipwa kwa makubaliano na wadai. Hizi zimefanyaika sana hasa huko US against makapuni kakubwa hasa ya vipodozi na sasa hivi kuna move agianst kampuni moja inatengeneza diapers za watoto na hata kampuni ya Johnson and Johson
 
Mnaongea kwasababu you have never been in there, in that situation. Tuendelee kuifurahia amani na utulivu uliopo nchini mwetu
 
UN kupitia WHO wafanye DNA tests kwa hao watoto na hao peacekeepers wao wote hasa wanaume ili kila mhusika apewe mtoto wake.
DNA tests kwa watoto maelfu na wafanyakazi wa UN zaidi ya 27,000 tangia 1999, hiyo garama yake unaijua? Na hata ikifanyika utawawajibishaje na kwa sheria zipi?
 
Kama Raia wa nchi nyingine wanavyoacha watoto hapa Tanzania.

Kuna watoto wengi tu ambao wamezaliwa hapa kutokana na baba zao kuja kufanya kazi za mikataba hapa.

Mikataba inapokwisha wanaondoka na kuacha vilio kwa wahusika.

Hili ni janga.
 
Usilinganishe mashirika na nidhamu ya jeshi
 
Na TANZANIA 🇹🇿 wamo huku tunaambiwa hua ni waadilifu
 
Kuna matatizo sehemu zote mbili wahusika na waliohusika Kwa kifupi wanawake wanapenda kujirahisisha Kwa wageni hata wachina waliojenga uwanja wa mkapa waliacha watoto wengi
 
Back
Top Bottom