UN: Raia 150 wauawa nchini DRC katika mapigano wiki mbili zilizopita

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mapigano katika jimbo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo la Ituri yalisababisha vifo vya zaidi ya raia 150 katika wiki mbili zilizopita, Umoja wa mataifa ulisema Jumanne.

Jimbo la Ituri na jimbo jirani yake la kusini la Kivu Kaskazini zimekumbwa na ongezeko la machafuko kati ya makundi kadhaa ya wanamgambo katika eneo hilo lenye utajiri mkubwa wa madini kwenye mpaka na Uganda.

Kundi moja, CODECO, linasema linalinda jamii ya Walendu dhidi ya kabila lingine la Wahema na vile vile dhidi ya jeshi la Congo.

Wahema hata hivyo, wanalindwa na kundi la wanamgambo liitwalo Zaire, huku jimbo hilo likilengwa pia na waasi wa ADF wenye uhusiano na kundi la kigaidi la Islamic State.

Ofisi ya Umoja wa mataifa ya kuratibu misaada ya kibinadamu (OCHA) imeonya kuhusu “mashambulizi ya mara kwa mara dhidi ya raia katika wilaya tatu tofauti, Djugu, Irumu na Mambasa ambayo yameua takriban raia 150 tangu mwanzoni mwa mwezi Aprili.

Matokeo yake ni kwamba, Wilaya ya Irumu “imekuwa kimbilio la maelfu ya watu wanaotoroka ukosefu mkubwa wa usalama”, OCHA imesema.

Mashambulizi pia yameripotiwa kulenga vituo vya afya na huduma nyingine muhimu, Umoja wa mataifa umesema.

===========================

UN says over 150 civilians killed in DR Congo's Ituri in two weeks

Attacks in the eastern Democratic Republic of Congo province of Ituri have left more than 150 civilians dead in the past two weeks, the United Nations said Tuesday.

The province and its southern neighbour of North Kivu have been wracked by increasing violence between several militia groups in the mineral-rich region along the border with Uganda.

One group, CODECO, or Cooperative for the Development of the Congo, says it is protecting the Lendu community from another ethnic group, the Hema, as well as the DR Congo army.

The Hema meanwhile, are defended by the Zaire militia — while the province is also targeted by the Allied Democratic Forces (ADF) linked to the Islamic State jihadist group.

The United Nations Office for the Coordination of Humanitarian Affairs (OCHA) warned of "persistent attacks against civilians in three separate districts" — Djugu, Irumu and Mambasa — that had killed around 150 civilians since the start of April.

Health clinics attacked
As a result, Irumu in particular "has become a refuge for thousands of people fleeing the widespread insecurity", the OCHA said.

Attacks have also been reported against health clinics and other essential services, the agency said.

The security situation in Ituri was "extremely concerning" with the attacks leaving communities "in dire need of assistance and protection", the spokesman for UN Secretary-General Antonio Guterres said.

Stephane Dujarric said the UN was committed to supporting people impacted by violence but warned that the "delivery of this assistance may be delayed in areas that were impacted by recent attacks."

He said local authorities had told the UN at least 55 civilians were killed when armed assailants attacked a village in Djugu in a single attack on Friday.

The conflict rekindled between the Hema and Lendu communities in 2017, resulting in thousands of deaths and forcing more than 1.5 million people from their homes.

Regional wars legacy
Much of eastern DR Congo is plagued by dozens of armed groups, a legacy of regional wars that flared in the 1990s and 2000s.

For the past two years, Ituri and North Kivu have been under a state of emergency declared by the national government in Kinshasa, in which police and army forces have replaced the civil administration.

The M23, a militia led by ethnic Tutsis, has separately won a string of victories against the army and enemy militias since re-emerging from dormancy in late 2021, capturing swathes of North Kivu province while threatening the regional capital of Goma.

In November, the seven-nation East African Community began deploying a military force of thousands of troops to eastern Congo in a bid to stabilise the volatile region.

Source: theeastafrican
 
Si UN wapo DRC kulinda amani,sasa watu wanakufaje tena.UN ni usanii mtupu,wao ni collaborators katika kuleta vurugu na mauaji ya wanadamu duniani.
 
Yangekua yametokeaa kwa Zele kelele za taasisi za wazungu wenzie na wa Africa wanaoshabikia wazungu zingekua nyingi mnooo, ila kwakua ni wa Africa ndo wanaouana jamii waala haistuki kiviiiiileee
 
dah! Congo pasua kichwa.
mimi napeleka lawama zangu kwa waliomuuwa Patrice hapo ndo shida ilipoanzia.
 
Yangekua yametokeaa kwa Zele kelele za taasisi za wazungu wenzie na wa Africa wanaoshabikia wazungu zingekua nyingi mnooo, ila kwakua ni wa Africa ndo wanaouana jamii waala haistuki kiviiiiileee
ulaya walisimama dhdi ya ndugu yao , nyinu mpo kimya badala ya kulaumu wanaosaidiana basi inabid mlaumiane kwa kutosaudiana ,leo ni siku ya 4 Sudan kuna hata Umoja wa afrika wapo kimya
 
Ila wewe jamaa nimekuona akili huna kabisaaa

Cc. Mathanzua huyu jamaa ni very brainwashed hata hajielew
 
narudia tena Ukraine ni ulaya na ulaya wameonesha umoja na undugu kusaidiana , vp nyiny mnaowalaumu wenzenu kwa kusaidiana halafu mnaka waje kukulia wewe huku Drc na Sudan wakati umoja wa afrika upo kimya , unaona mpo timamu ? leo siku ya 4 sudana wanauana umoja wa afrika upo kimya kabisa kama hakuna kitu ila unataka tuwalaumu wazungu kwa kumsaidia ndugu yao wa ulaya ila hutaki tujilaumu kwa kutowasaidia ndugu zetu Sudan
 
Libya ni Africa kwa nini Nato watoke ulaya kuja kuivamia libya. Ukielewa hapo basi hutapata shida.

Mambo kama hayo siyo mambo ya kusema kuna umoja wa africa utaingilia, hayo mambo yapo facilitated na hao unaowaona wewe wema (US), sasa kuna mwafrica wakuingilia agenda za us hapo, wakati kila siku mnajisifia us anawasaidia kwenye misaada then uje wewe na umoja wako dhaifu wa africa uingilie agenda zake.
 
Ila wewe jamaa nimekuona akili huna kabisaaa

Cc. Mathanzua huyu jamaa ni very brainwashed hata hajielew
jitathimi mara ya pili huenda ukawa mwehu , unaona ni sawa tuilaumu ulaya kwa kumsaidia mwenzao wa ulaya ila sio sawa kujilaumu kwa kufumbia macho ya ndugu yetu Sudan mpk sasa washakufa watu 200 na majeruhi wanafika 1000 nyiny mnaona ni sawa tu waafrika wafe ma mnataka ulaya wangeacha ukraine wafe tu sababu hata nyiny mnawatelekazaga wenzenu huku afrika hamuwasaidiii na mnataka ulaya wafanyr hivyo hivyo , Libyia , Somalia , Drc , Liberia na Sierra mliwaatelekeza bila msaada pia Iraq , Yemen , Syria na hata Palestina bara la Asia imezitelekeza bila kuwasaidia wenzao , Ulaya wamewapa darasa kusaidiana bila kujai ukubwa wa adui , nyiny bado mnakaza shingo tu mnang'ang'ania wehu wenu , kumbe mngeungana kuwatisha hao wakubwa walihusika kweny hayo mataifa hapo juu huenda hao wakubwa wangeliheshimu bara la afrika na kuacha kuleta vita ila sabab tuna wehu wengi kama wewe bas wametuchezea na wataendelea kutuchezea sabab akili ni zero
 
Libya ni Africa kwa nini Nato watoke ulaya kuja kuivamia libya. Ukielewa hapo basi hutapata shida.

Mambo kama hayo siyo mambo ya kusema kuna umoja wa africa utaingilia, hayo mambo yapo facilitated na hao unaowaona wewe wema (US), sasa kuna mwafrica wakuingilia agenda za us hapo, wakati kila siku mnajisifia us anawasaidia kwenye misaada then uje wewe na umoja wako dhaifu wa africa uingilie agenda zake.
ndio maana nakuita mwehu , hujui Libyia ni Afrika ?, kama waafrika mlifanya nini kuisaidia Afrika ? au pia mnahitaj msaada/mkopo kumsaidia mwafrika mwenzenu Libyia? pia sasa hv mmefanya nini kuisaidia Sudan ? badala ya kutaka tuwalaumu wazungu kuisaidia mwenzao wa Ulaya kwann tusijilaumu kwa ujinga wetu wa kutosaidiana na kuwakemea wanaotuletea vita baran kwetu , kaz kuita watu hawana akil sijui unahisi kila mtu mpumbav mwenzio ?
 
Libya ni Africa kwa nini Nato watoke ulaya kuja kuivamia libya. Ukielewa hapo basi hutapata shida.

Mambo kama hayo siyo mambo ya kusema kuna umoja wa africa utaingilia, hayo mambo yapo facilitated na hao unaowaona wewe wema (US), sasa kuna mwafrica wakuingilia agenda za us hapo, wakati kila siku mnajisifia us anawasaidia kwenye misaada then uje wewe na umoja wako dhaifu wa africa uingilie agenda zake.
jiulize kwann sasa hv wanakuja Afrika kama unahisi hatuna nguv kwao ,nyiny ndio mnaoiabudu USA huku mnajifanya mnaipinga mitandaon , UNITY ndo silaha pekee ila tunaitelekeza kwa tamaa ndogo kwahiyo sisi ndo wakosaj wa kulaumiwa wala tusilaumu wengine kwa umoja wao dhidi bali tujilaumu kwa kutokuwa wamoja , Afrika inahitajika dunian kuliko akili yako inavyofikiria ila wajinga kama wewe ndo wengi mliojikatia tamaa mshaona bora muwe wanyonge tu hamtaki kuamka na kupaza sauti tuwe wamoja dhidi ya maadui wa nje ya afrika
 
Yangekua yametokeaa kwa Zele kelele za taasisi za wazungu wenzie na wa Africa wanaoshabikia wazungu zingekua nyingi mnooo, ila kwakua ni wa Africa ndo wanaouana jamii waala haistuki kiviiiiileee
Jamii gani ishtuke, kule kwa Zelensky kuna Mwafrika umeona anashtuka au anajihusisha na yanayoendelea? Na waliotoa taarifa ni UN, umoja wa mataifa sasa ulitaka waseme kina nani wengine Waitaliano ama Wareno.
Uko unasubiri wazungu waje kupiga kelele, wale sio mabwana zako. Pambana mwenyewe.
 
ukabila kitu cha hovyo sana, wacongo walianza kuwaua banyamurenge kwa ajiri ya kabila lao na kuwashutumu sio raia wa Congo, leo makabila zaidi ya 12 yanauana yenyewe kwa yenyewe, mwalimu aliwahi kuongelea ukabila na alionya ukianza kuua watu kwa ukabila utamaliza mpaka ukoo wako na ndicho kinachoongelea Congo, tujihadhari na wakabila, udini au kujiona tuna haki kuliko watu wengine tusiokubaliana nao kama mashoga, haki imlinde kila mtu hata kama humpendi au hukubaliani naye
 
Wewe kumbe hujui neo colonialism, viongozi wetu wengi wapo chini ya maelekezo kutoka kwa hao unaosema wanatusaidia, Na hao ndio huwaua viongozi wote wazalendo ambao hawataki kuendesha nchi zao kwa matakwa ya hao mashetani mfano( Sankara, lumumba, Gaddafi, samora machel na wengine wengi), baada ya hapo guess what happened wanapachika puppets wao sasa kama kiongozi kawekwa na mmarekani unadhani ataweza kuresist kwake .Mfano vita ya libya hakuna kiongozi yeyote angeweza kutia pua pale wale wamefanya dunia kam yao, hilo la sudani viongozi wote wa africa wanajua what hapened na wanajua kabisa hawawezi badiliaha chochote kwa sababu ni game za wakubwa. Wanawachonganisha makusidi then wanafund kundi moja, kwa kuwapa kila kitu ndo yanatokea hayo. Ila wewe unaonekana bado mtoto mdogo au kama ni mtu mzima basi ni mtu mzima kileja hujitambui wala hauwezi kufikiria nje ya box hauwezi kuelew chochote.
 
narudia tena UNITY do nguvu , wanauliwa viongoz wenu na hamuoneshi umoja kukemea , unategemea nini ? kwan wasimuu kiongoz wa Saudia au China Au unahis wanashindwa ? ila nguvu ya watu nyuma yao ni kubwa tofaut na nyiny mna migawanyiko ya ajab mf hapa tunawafungua akili ila watu kama wewe bado unataka onesha kama haiwezekan , Umoja ndo Nguvu popote pale dunian
 
Mi nakuelewa ila Tumechelewa sana hayo yaliwezekana immediately post indepence, 1990's ila kwa sasa viongozi wetu ni dhaifu. Na akitokea kiongozi wa hvo hachukui round.
 
narudia tena UNITY do nguvu , wanauliwa viongoz wenu na hamuoneshi umoja kukemea , unategemea nini ? kwan wasimuu kiongoz wa Saudia au China Au unahis wanashindwa ? ila nguvu ya watu nyuma yao ni kubwa tofaut na nyiny mna migawanyiko ya ajab mf hapa tunawafungua akili ila watu kama wewe bado unataka onesha kama haiwezekan , Umoja ndo Nguvu popote pale dunian
Kukemea nini boss? unaongelea tufe kwa ajiri ya hawa viongozi wetu wapigaji kuliko panyarodi, bora nimtetee beberu anilipe changu, hakuna mtu mwenye akili anaweeza kufa kwa ajiri ya hawa wakoloni weusi kama CCM labda wake zao na watoto zao
 
ulaya walisimama dhdi ya ndugu yao , nyinu mpo kimya badala ya kulaumu wanaosaidiana basi inabid mlaumiane kwa kutosaudiana ,leo ni siku ya 4 Sudan kuna hata Umoja wa afrika wapo kimya
Tangu lini maskini akasaidia vitu vinavyohitaji mabilioni ya pesa, vita ni gharama kubwa sana, acha wamalizane wakikaribia kuisha watajua ukabila na madaraka sio deal
 
Yangekua yametokeaa kwa Zele kelele za taasisi za wazungu wenzie na wa Africa wanaoshabikia wazungu zingekua nyingi mnooo, ila kwakua ni wa Africa ndo wanaouana jamii waala haistuki kiviiiiileee
Hao ndugu zao wa karibu zaidi ni Waafrika na ndio wanapaswa kuwasemea
 
Back
Top Bottom