UN: Raia milioni 6 wa Afghanistan wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa

UN: Raia milioni 6 wa Afghanistan wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Umoja wa Mataifa imesema kwamba Waafghanistan milioni 6 wako hatarini kukabiliwa na njaa, huku majira ya baridi kali yakikaribia na mashirika ya kibinadamu yakiwa na uhaba mkubwa wa fedha

Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa Martin Griffiths amesema watu milioni 24 nchini humo wanahitaji msaada wa kibinadamu, na karibu milioni 19 kati yao wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula

Amebainisha kuwa watoto milioni 3 wana utapiamlo huku milioni 1 Kati yao wanaokadiriwa kukabiliwa na aina mbaya zaidi ya utapiamlo unaotishia maisha

....................................................

The United Nations said Monday that 6 million Afghans are on the brink of famine, with winter around the corner and humanitarian appeals dramatically underfunded.

"Afghanistan's crisis is a humanitarian crisis. It's an economic crisis. It's a climate crisis. It's a hunger crisis. It's a financial crisis," U.N. humanitarian chief Martin Griffiths told the U.N. Security Council. "But it's not a hopeless crisis."

But he painted a bleak picture.

Griffiths said 24 million people need some kind of humanitarian assistance, and almost 19 million of them face acute hunger. An estimated 3 million children are acutely malnourished.

"They include over 1 million children estimated to be suffering from the most severe, life-threatening form of malnutrition," he said. "Without specialized treatment, they could die."

The U.N. launched its largest appeal ever last year, seeking $4.4 billion to assist Afghans, but faces a shortfall of $3.14 billion as winter approaches. Griffiths said $614 million is urgently needed to repair shelters and provide warm clothes and blankets, as well as another $154 million to pre-position supplies in remote areas that are hard to reach in winter.

Sourve: VoA
 
Hapo marekani anawabania taleban wasiweze kuitawala tena Afghanistan. Amewawekea vikwazo kadhaa ikiwamo kuwakatia mawasiliano ya kibenki, kuwaharibia mahusiano na mataifa mengine ili wasiwe na ushirikiano wa aina yoyote wa kijamii au kifedha yaani wasiwe na connection yoyote nje ya Afghanistan.

Kwa sasa raia especially wa maeneo ya mijini wanapitia wakati mgumu sana hakuna ajira, vipato vimeshuka, wanashindwa kumudu basic needs kama chakula, makazi na mavazi, wanakosa huduma za kiafya sababu US kupitia Umoja wa mataifa wameweka sanctions za ajabu ajabu.

US ni choko sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila tatizo linaloikumba Dunia ni US sio ? , Hao wapuuzi wavaa kobazi walidhani kuendesha serikali ni kama kufuga ndevu ,Acha wanyooke sasa .[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ndio wapambane na Hali Yao sasa si wamepata Uhuru ?
 
Back
Top Bottom