UN: Raia wa kawaida waliouawa Ukraine ni zaidi ya 3,000

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Umoja wa Mataifa (UN) kupitia kitengo cha Haki za Binadamu imetolewa taarifa kuwa idadi ya vifo vya raia wa kawaida wanaofariki katika vita Nchini Ukraine imezidi 3,153 tangu kuvamiwa kijeshi na Urusi, Februari, 2022

Imeelezwa kuwa vifo vingi vimetokana na mashambulizi ya makombora ya ardhini au yaliyorushwa na ndege za kivita.

Pamoja na hivyo UN imeeleza kuwa idadi ya watu waliopoteza maisha inaweza kuwa kubwa zaidi ya hiyo iliyotajwa kwa kuwa kuna ugumu wa kupata takwimu sahihi kutokana na mazingira ya vita

Source: Forbes

---------------------------------------

Over 3,000 Civilians Killed In Ukraine Since Russia Invaded, U.N. Says

United Nations’ civilian death toll in Ukraine related to Russia’s invasion surpassed 3,000 Monday, a grim milestone as casualties from the war continue to pile up at an alarming rate.

A total of 3,153 civilians have been killed in Ukraine since Russia invaded the country February 24, the U.N.’s Office of the United Nations High Commissioner for Human Rights said in a statement Monday according to Reuters.

The U.N. office noted the true civilian death toll is likely “considerably higher” due to the difficulty in confirming reports from heavily besieged regions, and Ukrainian authorities have estimated thousands of more civilians have died as a result of the war.

A majority of the identified deaths occurred due to the use of explosive weapons with a wide impact area, as Ukraine and its allies accuse Russian forces of targeting civilians with shelling and missile strikes.

Nearly half of the deaths occurred in the Donetsk and Luhansk states in the Donbas region of eastern Ukraine that’s become the focus of Russia’s offensive.
 
Matatizo yote haya yametokea kisa tuu russia hataki ukraine ijiunge umoja wa ulaya na nato na zelesky nae hili hata halimuumizi kichwa anangalia maslahi yake kisa tuu ameahidiwa atakuwa life president na kupewa billioni mbili na western akikubali ukraine ijiunge nato na Eu
 
Ukishalewa bangi unaleta taarifa ya redio Magomeni Mapipa. Russia yeye anatafuta nini kwenye nchi ya watu.
 
UN, ni mpambe tu kwa USA, mbona hawakutoa taarifa za mauaji ya Raia waliouwa na USA nchi za Yemen, Libya Afghanistan, Iraq, Syria na Vietnam ?
 
Back
Top Bottom