UN: We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo

Wapumbavu tuu hao hakuna wanaemtisha..

Maendeleo yetu tunapanga wenyewe..

Wanadakia vimaelezo vya wakunya ndio reference?
We jinga kweli, maendeleo gani ya kuwatoa watu kwa nguvu kwenye aridhi yao kwa maslahi ya watu wachache...

Majitu kama wewe ndo yanayo turudisha nyuma kwenye taifa hili!
 
UN wajikige na wakimbizi wanaopelekwaRwanda kwa nguvu.
 
Usijidanganye, nothing like 'UN experts'. Experts on what? Human right? Environment? Ecology? Peace keeping? Space science? Nuclear pylhysics? Just In experts? Wacha ujinga wa namna hiyo.
Endelea kujidanganya wakati wenzako wanajulikana UN wewe unapiga kelele JF eti nothing like UN Experts.
 
Endelea kujidanganya wakati wenzako wanajulikana UN wewe unapiga kelele JF eti nothing like UN Experts.
Poa.......let's see. Kwamba kuna kitu kinaitwa "UN experts Permanent Forum for Maasai eviction"? Kweli? Yameshawahi kutokea matukio ya hatari duniani ikiwemo vita ya Ukraine na Russia lakini haijawahi kutokea hii kitu inaitwa 'UN expert permanent forum ikitoa tamko lolote. Leo hii imeibuka from no where on Tanzania Maasai. Nothing like that. Ningekuwa SSH Ngorongoro kesho ingekuwa peupeee? Tuone hao UN Kenyan experts watafanya Nini?! Shenzi. Au nasema uwongo ndugu yangu johnthebaptist ?!
 
Sipendi kabisa hawa wanaojiita UN experts kuingilia mambo yetu ya ndani! Sisi ni taifa huru na mambo yetu tutayatatua wenyewe. Tuna uwezo wa kushughulikia mambo yetu wenyewe. Tukigombana, tugombane wenyewe na tukipatana, tupatane wenyewe! Akituingilia mtu tunapatana kwa ajili ya kumshambulia, tukimshinda huyo wa nje tunarudia jambo letu la ndani hadi suluhu inapatikana,Hiyo ndiyo heshima ya Taifa!
 
Mtaingiliwa mpaka mknd maana hamna akili
 
Russia anaichakaza Ukraine wao wanarusha maneno Tanzania ? walivyopiga kelele kuwa bwawa la nyerere lisijengwe kwenye Mbuga ya wanyama ni nani?
 
Utaelewa tuuuu.....UN experts ni akina nani.

Umoja wa mataifa (UN) umeitaka Tanzania kuondoa maafisa wake wa usalama Loliondo ili kukomesha ukiukwaji wa haki za binadamu na unyanyasaji unaodaiwa kufanyika katika eneo hilo

 
Good move.

Wapigwe vikwazo viongozi wa juu ya nchi kusafiri nje ya nchi kwa jambo hili baya sana lililofanyika chini ya mamlaka yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…