UN: We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo

UN: We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo

Wapumbavu tuu hao hakuna wanaemtisha..

Maendeleo yetu tunapanga wenyewe..

Wanadakia vimaelezo vya wakunya ndio reference?
Akili yako ni tope tupu humo kwenye fuvu.

Hata husimami na kutambua unayemshabikia hao watu wanapokohoa tu yeye hupata homa; halafu wewe unajitokeza hapa na tu mbavu twako vyepesi kama mabua!

Kama habari hizo ni za kweli, na wanaosemwa ni kweli ni watu wa huko mahala, basi mtazame tena huyo anayekupeleka chooni kila siku na kukuleta kushinda hapa ukiweka takataka zako, ukimtazama, utaona kaota mkia ambao sasa anaukunja kama mbwa koko.

Hopeless kabisa watu msiokuwa na akili kama wewe.

Hasara kubwa kwa taifa hili.
 
Upumbavu tu wa Wakenya. Ecologicaly, anthropogenic activities should stop in Ngorongoro, Hilo Halina ubishi na Rais SSH anajua hili Kwa sababu akiwa Makamu Wa Rais alisimamia Division of Environment at the Office Vice President. She is well informed. Ngorongoro isiwe kichaka cha kuchungia Wakenya
Inaonekana huyo SSH unayemtegemea humjui.
 

Tanzania: UN experts warn of escalating violence amidst plans to forcibly evict Maasai from ancestral lands​

GENEVA (15 June 2022) – UN human rights experts* have expressed grave concerns about continuous encroachment on traditional Maasai lands and housing, accompanied by a lack of transparency in, and consultation with the Maasai Indigenous Peoples, during decision making and planning.

“We are deeply alarmed at reports of use of live ammunition and tear gas by Tanzanian security forces on 10 June 2022, reportedly resulting in about 30 people sustaining minor to serious injuries from live bullets and the death of a police officer,” the experts said.

“We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo and the Ngorongoro Conservation Area and begin consultations with the Maasai Indigenous Peoples, including direct contact with the Ngorongoro Pastoral Council, to jointly define current challenges to environmental conservation and best avenues to resolve them, while maintaining a human rights-based approach to conservation,” said the experts.

Why can't UN deal with Vladmir Putin ?

Where is UN to stop PAUL kagame from invading Congo [emoji1078],using his M23 rebel group?

Can't UN see the ongoing killing the of the Protesters on streets everyday by The Sudanese military regime?

Why Don't UN stop the Isrel Government from the illegal expansion of the Gaza settlement from Palestinian land?

Before the NOTICE you the so called UN...
Should verify yourself the ongoing process in Loliondo and Ngorongoro from the reliable source.

It's a shame for the international organisation like the UN, to work and act from the hearsay stories.

Tanzania [emoji1241] is a sovereign state and every matter taken should consider the protocol advisory.
 
Akili yako ni tope tupu humo kwenye fuvu.

Hata husimami na kutambua unayemshabikia hao watu wanapokohoa tu yeye hupata homa; halafu wewe unajitokeza hapa na tu mbavu twako vyepesi kama mabua!

Kama habari hizo ni za kweli, na wanaosemwa ni kweli ni watu wa huko mahala, basi mtazame tena huyo anayekupeleka chooni kila siku na kukuleta kushinda hapa ukiweka takataka zako, ukimtazama, utaona kaota mkia ambao sasa anaukunja kama mbwa koko.

Hopeless kabisa watu msiokuwa na akili kama wewe.

Hasara kubwa kwa taifa hili.
Hivi wewe na povu lako hilo unaijua vizuri hata hiyo Loliondo?

Wacha kushabikia vitu usivyovijua uhalisia wake.
 
Hivi wewe na povu lako hilo unaijua vizuri hata hiyo Loliondo?

Wacha kushabikia vitu usivyovijua uhalisia wake.
Wewe umejuaje kuwa siijui Loliondo kama siyo kujionyesha upumbavu tu!

Uhalisia wake unaoujua wewe ni upi? Kuwafurahisha wageni kwa kuwatesa wananchi, ndio uhalisia unaokuondoa akili kichwani?
 
Tujiulize un ni nani?je ni beberu au ni nani?Ili mjadala uweze kunoga.

Siku hizi hatuulizani juu ya hilo. Tulishajisalimisha tangu mwaka jana. Nowadays tukichafua hali ya hewa kidogo tu wakakohoa, tunaanza kujiharishia tukihofia kunyimwa shekeli.
 
Serikali na vyombo vyake ikiwemo taasisi, idara zake zifahamu kuwa mwaka huu huko Uswisi waziri wa Sheria na Katiba Mh. George Simbachawene mbele ya Umoja wa Mataifa katika Kamisheni ya Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Binadamu kuwa Tanzania iliridhia kuacha kuandamiza na kubinya haki za msingi.

Haki hizo za msingi nyingi ikiwemo hili la wananchi kuwa na haki kujadili, kushauri na kuelekeza nchi yao iende vipi.

23 March 2022
Geneva, Switzerland

Mikataba 252 ambayo Tanzania iliridhia na inayogusa haki zote ikiwemo UWAZI ni kama ifuatayo



Video : Mh. George Simbachawene akihutubia UMoja wa Mataifa kuhusu haki haki na kuuhakikishia ulimwengu kuwa haki zote ktk awamu ya 6 zinazingatiwa



Tanzania yaridhia haki ya wananchi kushirikishwa katika ngazi zote, kujadili mustakhabali wa nchi yao, haki ya jumuika, haki ya kuzungumza, wananchi kuwa na haki ya kuwaambia watawala nini wakifanye, uhuru wa habari, kufunguliwa vya vyombo vya online pia magazeti, imeridhia mikutano ya vyama vya siasa kufanyika, , ....

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania was a strong proponent of the Universal Periodic Review mechanism which brought together State actors, civil society and development partners. As the Government pursued the goal of realisation of human rights for all Tanzanians, the recommendations were given the highest consideration. All 252 recommendations were disseminated to State and non-State actors, including the National Human Rights Institution as well as civil society, in both mainland Tanzania and Zanzibar. As a result of broad-based consultations, Tanzania had accepted to implement 167 recommendations, which were in compliance with the Constitution of the United Republic of Tanzania and the Constitution of Zanzibar.

The recommendations aligned with policies, laws and programmes which called for the promotion and protection of civil, political, economic, social and cultural rights, emerging human rights issues, anti-corruption efforts, environmental conservation and development priorities of Tanzania. The Government affirmed its commitment to implementing all the accepted recommendations, which had been deemed strategic and effective interventions for the promotion and protection of human rights. 65 recommendations had been noted; those were recommendations that were not in alignment with the Constitutions, policies, laws, traditions, beliefs and culture of Tanzania, or which required further consultations before making a conclusive decision. The Government strived to ensure that all Tanzanians were provided with equal civil, political, economic, social and cultural human rights.

Discussion

Speakers applauded the Government of Tanzania for progress made in strengthening its institutional frameworks for the promotion and protection of rights and fundamental freedoms. Strides had been made in the area of social development, including the introduction of fee-free primary education and remote learning during the COVID-19 pandemic. Speakers further commended Tanzania on the establishment of the National Commission for Human Rights, which was in accordance with the Paris Principles. Speakers noted steps taken to curb child labour, as well as the measures taken by the Government toward ensuring freedom of expression and the right to information, which included entering into dialogue with media practitioners and amending some pieces of legislation. Tanzania’s acceptance of close to 75 percent of the recommendations showed real commitment to further promoting and protect the rights of all persons on its territory. The acceptance of recommendations prioritised expenditures in health including specialised care and services for people living with albinism, as well as scaling up investment in education.

Other speakers took note of the challenges faced by Tanzania in implementing some of its human rights obligations under Article 12(3) of the African Charter which recognized the right to seek and obtain asylum in other countries, as well as the 1951 Convention relating to the Status of Refugees. Speakers regretted that Tanzania did not receive any recommendations on the rights of sex workers, urging the Government to repeal the Penal Code provisions criminalising acts associated with sex work, place a moratorium on the arrest and harassment of sex workers under vagrancy laws, and revise and harmonise national legislation in line with regional and international human rights instruments. Tanzanian authorities continued to weaponise the law to target the opposition and critical voices, using non-bailable offence provisions under the Criminal Procedure Act to detain people for unreasonable periods of time. The State should ensure accountability for election-related human rights violations and guarantee post-election human rights reforms to reverse the Government’s increasing repression and crackdown on civic space.

The Vice-President of the Council informed that out of 252 recommendations received, 167 enjoyed the support of Tanzania, while 65 had been noted. Additional clarification was provided on 20 recommendations, indicating which parts of the recommendations were supported and which parts were noted

Concluding Remarks

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania continued to accord great significance to the Universal Periodic Review, as it played a key role in the promotion and protection of human rights in the country. Tanzania was committed to implementing the accepted recommendations, as they would have a direct impact on the realisation of human rights and sustainable development of the country. The Universal Periodic Review was a continuous process, and the Government would continue to address the remaining challenges through dialogue, in collaboration with all stakeholders. It would also continue to strengthen its internal mechanisms and promote engagement with all non-State actors and development partners. The Government, under the stewardship of Tanzania’s first female President, would meet the aspirations and objectives of the Universal Periodic Review mechanism during the coming fourth cycle.



Link: Conseil des droits de l’homme : Examen périodique

https://www.ungeneva.org › 2022/03
Human Rights Council Adopts Outcomes of Universal Periodic ...

23 Mar 2022 — 23 March 2022 Meeting Summaries. The Human Rights Council in a midday meeting adopted the outcomes of the Universal Periodic ....
 
Hapa lazima serikali itarudi nyuma maana rekodi yake ya haki za binadamu walitumia nguvu nyingi kujitofautisha na awamu ya mwendazake hayati JPM na hii ya Tanzania kujiondoa toka taswira ya ugandanizaji walitoa ahadi kemkem kule Geneva Ofisi ya Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu juzi tu mwezi Machi 2022.


Fast forward mwezi June 2022 nchi inapata karipio la angalizo sasa zile juhudi za kujisafisha ktk nyanja ya Haki za Binadamu zinataka kupotea.
 
29 April 2022
Bunge la Bajeti
Dodoma, Tanzania

MBUNGE AIBUA HOJA KUWA (THBUB) TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA TANZANIA NI TUME-MFU, IMEGOMA KUFUATILIA MATUKIO YA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU?



mbunge atoa mifano hai jinsi chombo hiki kilivyotelekezwa na serikali kikibaki ombaomba kusubiri fedha za wafadhili wa nje ili kiweze kufanya majukumu yake muhimu ya kuhakikisha haki za binaadamu na utawala bora nchini mwetu unafuatiliwa.

Raia wanatekwa na kuachiliwa mfano Mo Dewji, Roma Mkatoliki kwa kuwataja kwa uchache, Tundu Lissu kushambuliwa pia mauaji kule Mtwara na Tanga lakini hatujasikia Tume ikikemee wahusika wasiojulikana au kuzitaka na kuzisaidia taasisi na idara husika au maofisa kutoa taarifa nini wamefanya kuwafahamu watu wasiojulikana na pia kusaidia mfumo wa Jinai Haki (Criminal Justice System) kuweza kuwezeshwa kifedha, rasilimaliwatu na utashi haki itendeke.

Mbunge anasema kwa hali ilivyo ni kuwa Tume hiyo inafufuka tu wakati wa kusomwa bajeti ya wizara mama ya Katiba na Sheria lakini baada ya hapo inarudi kusinzia bila kufanya majukumu yake muhimu ya kuhakikisha haki za binadamu na utawala bora nchi unaimarishwa kwa vitendo, kwa kukemea, kuelimisha na kufuatilia kisha kutoa majibu kwa uwazi kwa umma wa waTanzania ili imani irudi kuwa haki za binadamu na utawala bora upo nchini.
 
Back
Top Bottom