Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Putin siyo ombaomba wewe kutwa kuomba na kushinda Ulaya na Marekani
Hilo nalo neno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Putin siyo ombaomba wewe kutwa kuomba na kushinda Ulaya na Marekani
Ukongwe wako haujakusaidia kuondoa ujinga kichwani kwako..Muhaho huu.
Mkuu wewe hunaga cha kufanya.. unalamba asali tu?
ID ya mwaka 2021 lakini unatukana wakongwe wa humu ..
🤣Tujiulize UN ni nani?je ni beberu au ni nani?Ili mjadala uweze kunoga.
Ukiwa hivi kwa miaka zaidi ya 6 ijayo..utakuwa kopo tu kichwani. Akili zitaisha. Ila naamini utabadilika tu ndani ya mda mchache.Ukongwe wako haujakusaidia kuondoa ujinga kichwani kwako..
Kwamba wapumbavu huwa hamzeeki au?
Na Kazi yangu ni ku deal na wapumbavu wote kama weweUkiwa hivi kwa miaka zaidi ya 6 ijayo..utakuwa kopo tu kichwani. Akili zitaisha. Ila naamini utabadilika tu ndani ya mda mchache.
Huna point ila mitusi tu.
Aliye kupa kazi kapoteza pesa Bure tu.Na Kazi yangu ni ku deal na wapumbavu wote kama wewe
we don't need to consult anybody. The maasai should vacate the area and contrary to that excessive power will be used.Tanzania: UN experts warn of escalating violence amidst plans to forcibly evict Maasai from ancestral lands
GENEVA (15 June 2022) – UN human rights experts* have expressed grave concerns about continuous encroachment on traditional Maasai lands and housing, accompanied by a lack of transparency in, and consultation with the Maasai Indigenous Peoples, during decision making and planning.
“We are deeply alarmed at reports of use of live ammunition and tear gas by Tanzanian security forces on 10 June 2022, reportedly resulting in about 30 people sustaining minor to serious injuries from live bullets and the death of a police officer,” the experts said.
“We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo and the Ngorongoro Conservation Area and begin consultations with the Maasai Indigenous Peoples, including direct contact with the Ngorongoro Pastoral Council, to jointly define current challenges to environmental conservation and best avenues to resolve them, while maintaining a human rights-based approach to conservation,” said the experts.
Chanzo: Tanzania: UN experts warn of escalating violence amidst plans to forcibly evict Maasai from ancestral lands
Kwani mkiandika ndio Mimi nitaacha kuonyesha ujinga wenu? Hiyo ndio Kazi yangu ku deal na takataka kama wewe..Aliye kupa kazi kapoteza pesa Bure tu.
Tutendelea kuandika hadi uwe mboyoyo.
hakuna wanaemtisha..
Maendeleo yetu tunapanga wenyewe..
Wanadakia vimaelezo vya wakenya ndio reference?
Mkopo unatolewa na UN?Utanyimwa mkopo imagine now mkopo umefika Trilioni almost 70.
Leta jeuri tu!!!
Hujui wana nguvu gani World Bank na IMF?Mkopo unatolewa na UN?
Mikopo inapatikana WB na IMF pekee?Hujui wana nguvu gani World Bank na IMF?
Ww inaonekana zwazwa fulani usiyemjua dunia inajiendeshaje.!! Muulize mumeo akusaidie.
Hata kwenye hizo nchi nyingine UN wana nguvu na ushawishi mkubwa sana.Mikopo inapatikana WB na IMF pekee?
Nguvu gani? Kwani msimamo wa UN ndio msimamo wa Nchi moja moja? Juzi tumepata pesa kutoka India Til.1Hata kwenye hizo nchi nyingine UN wana nguvu na ushawishi mkubwa sana.
Ww unajua nchi ngapi ni wanachama wa UN?
Soma dada uelimike zaidi sio kukimbilia kukomenti JF ujinga wako.
Unajua kuwa India ni mwanachama wa UN?Nguvu gani? Kwani msimamo wa UN ndio msimamo wa Nchi moja moja? Juzi tumepata pesa kutoka India Til.1
Kuwa.mwanachama kwani lazima awe na msimamo wa UN,nini maana ya kupiga kura azimio?Unajua kuwa India ni mwanachama wa UN?
Unapenda ubishi sana sijui ndiyo ulivyolelewa.
Mumeo ana kazi aisee!!
Tanzania: UN experts warn of escalating violence amidst plans to forcibly evict Maasai from ancestral lands
GENEVA (15 June 2022) – UN human rights experts* have expressed grave concerns about continuous encroachment on traditional Maasai lands and housing, accompanied by a lack of transparency in, and consultation with the Maasai Indigenous Peoples, during decision making and planning.
“We are deeply alarmed at reports of use of live ammunition and tear gas by Tanzanian security forces on 10 June 2022, reportedly resulting in about 30 people sustaining minor to serious injuries from live bullets and the death of a police officer,” the experts said.
“We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo and the Ngorongoro Conservation Area and begin consultations with the Maasai Indigenous Peoples, including direct contact with the Ngorongoro Pastoral Council, to jointly define current challenges to environmental conservation and best avenues to resolve them, while maintaining a human rights-based approach to conservation,” said the experts.
Chanzo: Tanzania: UN experts warn of escalating violence amidst plans to forcibly evict Maasai from ancestral lands
Hizi tafsiri za Kiswahili zinanitatanisha. Wao wanasema ni Kitengo au Jukwaa la UN la kinacholinda haki za Wakazi au makabili wa asili. Sasa hizi tafsiri za kusema ni Wataalamu zinapotosha.