UN: We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo

Kwani mkiandika ndio Mimi nitaacha kuonyesha ujinga wenu? Hiyo ndio Kazi yangu ku deal na takataka kama wewe..
Murudishie hera zake.

Umwambie kabisa kwamba. Umeshidwa. Humu watu wanahoja nzito na wewe umebaki kutukana tu. Sawa?.

Ukuendelea na matusi tutakureport kwa admini akupige bani la miezi kadhaa.
 
Wewe umejuaje kuwa siijui Loliondo kama siyo kujionyesha upumbavu tu!

Uhalisia wake unaoujua wewe ni upi? Kuwafurahisha wageni kwa kuwatesa wananchi, ndio uhalisia unaokuondoa akili kichwani?
Ni mgeni gani anaefurahishwa huko Ololosokwan?

Je unao uelewa kwamba kelele za Loliondo sio kuhamishwa bali ni kutengewa eneo rasmi la malisho.

Serikali imewaachia
2500sq km na sasa inaweka Beacon kwenye eneo liliotengwa kwa uhifadhi kama Buffer zone.

Nyinyi huku mmekazana kupiga tararira oooh Loliondo kuna Genocide...

Mnaijua maana ya Genocide?

Mnaelewa Loliondo na sheria zake kuhusu uhifadhi?

Mnaropoka sana kwenye keyboard mpaka mnachafua screen kwa mapovu bila uelewa.

Kule Ngorongoro NCAA nako ni kwamba watu wanahama ili kupisha shughuli za uhifadhi.
Tena kwa hiari yao wenyewe

Nyinyi huku mnapayuka ovyo utadhani huwa mbawasaidia chochote kwenye maisha yao ya kila siku.
 
Eneo la urithi wa dunia halipaswi kuguswa na yeyote zaidi ya wakazi wake asilia ambao ni Wamasai
 
Hizo ngonjera wanaimba wakenya, sawasawa na zile za kupinga bomba la mafuta........serikali lazima iminye maslahi yoyote ya kenya kwenye eneo la ngorongoro hususan kwenye kulitumia hilo eneo kunenepesha mifugo yao na jitihada zao za kukwamisha umuhimu wa eneo hilo kiutalii kwa maslahi ya utalii wa kenya.​
 
Sovereignty exists theoretically, practically you are just a remote.
 
Wakenya ndio watetezi wa masai kumbe wana maslahi yao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Safari hii ndio mtajua hamjui
Tuna rais originally mtanzania
 
Wakimsifia rais wenu mnachekelea
 
Wamaasai wameishi pale zaidi ya miaka 100 ulikuwa unawapeleka wewe chooni.
Hakumaanisha hivyo...

Amemaanisha Mama kawastiri...
Walikuwa hawana hata choo kwenye makazi yao, Mama kawapa hifadhi ya makazi, eneo, na vyoo ambavyo hawakuwa navyo hapo mwanzo, na zaidi ya hayo Mama kawapa mpaka hati pia kawatunukia!
 
Acha ujinga, Maendeleo gani unayojipangia mwenyewe wakati bajeti yako 60% inawategemea wao?? Pesa ya matundu ya choo tu imetoka kwao.
Mbele ya Marekani watanzania nafasi yetu ni kama ya Marekani pale urusi. Akikata bomba la mikopo IMF tutarudi kule kule kukwapua michango ya wastaafu ili kuendesha serikali yetu😂😂😂

Kuweni wapole hawa wajinga wataleta tozo mpaka ya kugongana na wake zetu usiku.
 
Anaongea tu pamoja na kwamba Marekani anatoa misaada lukuki lakini bado tunalilia na kuomba
 
Hakumaanisha hivyo...

Amemaanisha Mama kawastiri...
Walikuwa hawana hata choo kwenye makazi yao, Mama kawapa hifadhi ya makazi, eneo, na vyoo ambavyo hawakuwa navyo hapo mwanzo, na zaidi ya hayo Mama kawapa mpaka hati pia kawatunukia!
Walimuomba awajengee vyoo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…