Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ni lazima tujifunze kujitegemea kama Taifa.Natumai mama ataisaidia UN na mambo yatakaa sawa.
Nguvu Moja 💪.Ni lazima tujifunze kujitegemea kama Taifa.
Mimi siyo ChawaChawa kwenye moja na mbili
Wauze dhahabu zaoNdugu zangu Watanzania,
Embu Someni Hapa ili mpate kujua Maana ya kujitegemea kiuchumi kama Nchi Kama Afanyavyo Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambaye amekuwa akitutaka Watanzania kulijenga Taifa letu kwa Mikono yetu wenyewe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3537113
Maku ww!Ni lazima tujifunze kujitegemea kama Taifa.
Wewe haunaga akili. Tukikimbilia kuomba fedha nje unashangilia na kuanzisha thread, tukinyimwa pesa na misaada unashangilia na kuanzisha thread, ndugu zako Mbeya wameuawa October 29 umeshangilia na kukenua meno kumsifia bibi yako muuaji, leo hii unajiunga na VPN ya uholanzi kuja jamii forums kuwasifia walioifungia isipatikane. Una akili timamu kweli!?!?, Jamii forums ilipofungiwa mliona aibu kama wiki moja baadae mkaamua kuja hivyohivyo bila kutumia akili. Aliyekuzaa bora angefanya abortion tu.Mimi siyo Chawa
Hivi wewe ni mwanamke au ni dume?hawa vijana wapiga nyeto hawawezi kukuelewa. Mange ashaharibu akili zao
Kwani hapo sababu ni kujitoa kwa U.S au nchi wanachama kwa ujumla kutolipa ada zao kwa wakati?Xi Jinping, ulisema bila usa mambo yataenda tu. Kila member country atoe 1% kufidia gap la USA. Nadhani unatania.
Ulisema kanaa kwamba ni kitu rahisi tu kufanyika, kama ada za wanachama tu ni mbinde, hiyo 1% unadhani itakuwa rahisi. Mwelekeo wa dunia kwa sasa haueleweki, usije kushangaa hata hiyo UN nayo inakata moto tu.Kwani hapo sababu ni kujitoa kwa U.S au nchi wanachama kwa ujumla kutolipa ada zao kwa wakati?
Hali ya uchumi ni tete ila UN kukata moto si rahisi imepitia vipindi vigumu vingi sana tangu ikiwa inaitwa League of NationsUlisema kanaa kwamba ni kitu rahisi tu kufanyika, kama ada za wanachama tu ni mbinde, hiyo 1% unadhani itakuwa rahisi. Mwelekeo wa dunia kwa sasa haueleweki, usije kushangaa hata hiyo UN nayo inakata moto tu.
hawa vijana wapiga nyeto hawawezi kukuelewa. Mange ashaharibu akili zao