Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
kwahiyo unasemaje?
kwahiyo unasemaje?
Haya madeni ni himilivu.
Tanzania tuna hali nzuri ya kiuchumi. Mshahara unalipwa kwa wakati, posho zinalipwa kwa wakati, miradi inaendelea , serikali inajiendesha vizuri.
Hizo Dua zenu zitafeli
Unakubali kwamba hamna uwezo wa kujitegemea bila ya misaada ya wazungu?kwahiyo unasemaje?
Haya madeni ni himilivu.
Tanzania tuna hali nzuri ya kiuchumi. Mshahara unalipwa kwa wakati, posho zinalipwa kwa wakati, miradi inaendelea , serikali inajiendesha vizuri.
Hizo Dua zenu zitafeli
Serikali ya ccm imetawala miaka 60 imeshindwa kujitegemeaNdugu zangu Watanzania,
Embu Someni Hapa ili mpate kujua Maana ya kujitegemea kiuchumi kama Nchi Kama Afanyavyo Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambaye amekuwa akitutaka Watanzania kulijenga Taifa letu kwa Mikono yetu wenyewe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3537113
Ndugu zangu Watanzania,

Acha utani wako weweDr Janabi anatakiwa kufunga ofisi arudi muhimbili kufundisha