UN yatoa tamko sakata la Loliondo, yataka Tanzania kuondoa maafisa wa Polisi Ngorongoro

UN yatoa tamko sakata la Loliondo, yataka Tanzania kuondoa maafisa wa Polisi Ngorongoro

tanzania ni sovereigh state hatuwezi kuamliwa mambo yetu na wazungu,mbona wao yanawashinda.waende russia wakamsaidie ukraine.
Vp kule UN ni WAKENYA pia?

Tulikemewa kuwa Kila anaetetea HAKI za maasai ni Kutokea Nchi Jirani,

Kumbe mlishanusa dalili za kukatiwa misaada ndo mkasema MBELENI Hal itakuwa ngumu!!!

Sasa ni kuchagua kati ya Wajomba wa jangwani na wale wenye pua ndefu😠😠.
 
Back
Top Bottom