Una 1.5M, utanunua Laptop au TV?

Una 1.5M, utanunua Laptop au TV?

It depend na kazi laptop ya ata used napata kwa 500 nyingine TV
 
Kama unahitaji laptop ipo used .. LENOVO THINKPAD, Yoga 11e na ina saupport screen touch longer battery life 500 hdd, processor iko makini 500k fixed. ipo geita . njoo PM kama unahitaji
Acha utapeli yoga 11e utamuuzia nani laki tano?
 
Tv inalate mvuto laptop labda kama una kazi za kufanya ila ofisini zipp Kwa wengine
 
Hahaha kuna Graduate alinunua Godoro akafuatia TV bila kitanda na kiti cha kukalia hana 😆 😄 na anakula bila kupakua maana hana sahani Getoni. Wakija wageni anaenda kuazima kiti kwa jirani.
Jamaa una matusi 😂😂
 
Hahaha kuna Graduate alinunua Godoro akafuatia TV bila kitanda na kiti cha kukalia hana 😆 😄 na anakula bila kupakua maana hana sahani Getoni. Wakija wageni anaenda kuazima kiti kwa jirani.
kumbe ndio zako kunisema kama ulikuwa hujui nilitaka kuanza na tv kwanza ndio godoro lifate.
 
FLesSe5XEAkoPf4.jpeg
 
Kama unahitaji laptop ipo used .. LENOVO THINKPAD, Yoga 11e na ina saupport screen touch longer battery life 500 hdd, processor iko makini 500k fixed. ipo geita . njoo PM kama unahitaji
Weka picha
 
Kwenye PC na yoga 11e nayo ni pc???? PC unaangalia Kwa jicho Moja kama saa
 
Mada fupi sana, tupe maoni yako.

Una 1.5M, utanunua Laptop au TV?
Nanunua vyote ningeenda nunua TV Hisense 550,000 nchi 50 na chenji inabaki 950,000 nanunua laptop kali na waranty juu hapo Laptop City Posta
 
Back
Top Bottom